Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Humu huruhusiwi kuweka picha njoo tu uoneAmbatanisha picha
Nyie ni Kambele, Mbise au Sangito?Half american nitafutie basi wateja unapata commission yako
Sisi ni group la madalali waliojikusanya kupigania haki ya mwananchi upate kiwanja /heka yako kihalali unalipia kwa awamu.Nyie ni Kambele, Mbise au Sangito?
Ndio vimepimwa na vina hati milikiViwanja vimepimwa? Vina hati miliki au nyaraka gani za uthibitisho wa umiliki wa eneo?
UzunguniBoma maeneo Gani mkuu
Mna viwanja vya bei gani kiwanja hapo uzunguni?Uzunguni
NasubiriViwanja vimepimwa? Ambatanisha na approved survey plan
Una uhakika picha haziruhusiwi?Humu huruhusiwi kuweka picha njoo tu uone
Niungishe basiAhsante kwa taarifa...
20 kwa 15 ni ml 3 na laki 6Mna viwanja vya bei gani kiwanja hapo uzunguni?
Wewe njoo ona halafu ukipenda basi utaonyeshwa kila utakacho taka kufahamuViwanja vimepimwa? Ambatanisha na approved survey plan
Mtu atoke Mbeya mpaka boma ndio apate majibu? Mna matatizo gani nyie madalli wa humu? Kwa nini msiweke taarifa zote hadharaniWewe njoo ona halafu ukipenda basi utaonyeshwa kila utakacho taka kufahamu
Unaniambia tu naomba unitumie bei za viwanja na heka mlivyo na vyo na mahali basi unatumiwa shida iko wapi tajiriMtu atoke Mbeya mpaka boma ndio apate majibu? Mna matatizo gani nyie madalli wa humu? Kwa nini msiweke taarifa zote hadharani