INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam
Joined
Jun 4, 2015
Posts
38
Reaction score
26
MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI

BEI: 450,000/=

Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA!

KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa matakwa yako au kama upo karibu na walimaji wa mahindi unaweza KUKODISHA mashine hii kwa bei unayotaka kwa siku kadhaa hivyo kukuingizia FAIDA ZAIDI, hii ni njia moja ya kujitengenezea kipato popote ulipo

MZIGO MWENGINE UMEWASILI, USISIKIE KWA MWENGINE PATA YAKO KWA BEI NAFUU

IPO DAR TEYARI KWA ANAYEHITAJI, hapo kwa hapo....

MASHINE ZIPO CHACHE, ZIKIISHA HADI KUWEKA ODA... kua mjanja upate yako siku hiyohiyo

Mashine inasifa zifuatazo
Mashine ni ya kupukuchua punje za mahindi kutoka kwenye muhindi
Inatumia umeme wa kawaida wa yani 220v
Inaweza kupukuchua hadi 1500kg ya mahindi kwa lisaa limoja
Imetengenezwa na material nzuri ya kudumu
MASHINE ZIPO CHACHE, WAHI SASA...
Zinatoka moja kwa moja kutoka viwandani
Mawasiliano zaidi whatsapp +8615721537610
Au mwakilishaji wetu wa Dar 0754385573
Wamikoani malipo mzigo ukiwekwa kwenye chombo cha usafiri,
wa Dar malipo ukishapokea mzigo wako

Email gettrendy101@outlook.com
Umechoka kuajiri watu wakufanyie hii kazi?
ZIMEBAKI CHACHE!

PATA OFFER HII

HII NI OFFER KABAMBE!
20180820_055852.png
Screenshot_20180819-145155.jpg
20180820_060043.png
 
Attachments

  • Screenshot_20180819-145155.jpg
    Screenshot_20180819-145155.jpg
    39 KB · Views: 97
SISI WENGINE TUPO MASHAMBANI, NA UMEME NI SHIDA KIDOGO. JE KUNA AMBAZO ZINATUMIA MAFUTA (FUEL) AMBAZO MTU UNAWEZA KUTEMBEA NAZO MASHAMBANI?
 
Jitahidini mpate zile zinazotumia dizel kwa ajili ya huku vijini sio kila mahali kuna umeme

Pia MTU anahtaji ukampukuchulie mahindi yake huko mashamban unazan apata umeme huko kweli

Tafuta zinazotumia diesel au petrol utapata Wateja nikiwemo na mm
 
Je mnaweza kuwa na mashine za kufyatulia tofali zile automatic. Qt 4- 15. Na ni bei gani
 
Jitahidini mpate zile zinazotumia dizel kwa ajili ya huku vijini sio kila mahali kuna umeme

Pia MTU anahtaji ukampukuchulie mahindi yake huko mashamban unazan apata umeme huko kweli

Tafuta zinazotumia diesel au petrol utapata Wateja nikiwemo na mm
Asante kwa ushauri wako mzuri mkuu, tutazingatia hilo
 
Unataka kujianzishia biashara yako nyumbani ya kusaga na kukoboa mahindi, mpunga, n.k au wewe ni mkulima unayetaka kuwa na mashine yako mwenyewe ya kusaga na kukoboa mahindi, mpunga na nafaka mbalimbali, basi hii ni chance yako.. kwa tshs 1,500,000 unajipatia mashine yako na faida yake utajionea

⭕Mashine imebaki MOJA tu, ipo Dar

Sifa za mashine hii
🔸️Mashine ina pande mbili, pande moja ni ya kukoboa, upande wa pili ni kusaga
🔸️Motor yake ni ya 2.2kw 2800r/m
🔸️Rahisi kutumia
🔸️uwezo wa kusaga na kukoboa zaidi ya 300kg kwa saa
🔸️Ni mashine ndogo unayoweza kuiweka sehemu popote nyumbani
🔸️Bei yake ni bei ya kiwandani yani 1,300,000/= (fixed price)
🔸️mashine ina uzito 83kg (mashine pamoja na motor yake) upana 1260×400×1120mm
🔸️inatumia umeme wa kawaida wa majumbani

Maelezo zaidi
🔴mashine kwa sasa ipo Dar, kwa wateja walio teyari kuinunua wasiliana nami whatsapp +8615721537610 au mwakilishaji wetu wa Dar 0754385573
🔴Kuna wateja wetu wa mda waliwasiliana na mimi au mwakilishaji wetu tangu mwakani walitaka kujiandaa kipesa kabla ya kununua, kama wapo teyari tutawapa kipaumbele cha kwanza
🔴Mashine imebaki MOJA tu hapo Dar, mteja akiwahi kuinunua wengine wanatakaotaka wasiliana nasi uweke ODA, MALIPO MZIGO UKIFIKA TZ
🔴Ndugu walio mikoani, kama una njia ya sisi kukusaidia kusafirisha mashine tuambie (usafirishaji ni juu yako) AU tunaweza kusaidia kupeleka mashine kwenye kampuni utakayopendekeza ya usafirishaji kutoka Dar kuja popote ulipo, ila malipo kabla ya mashine kuwekwa kwenye chombo cha usafiri
🔴Ili kurahisisha usafirishaji, mashine haijawa assembled, ila ukinunua mashine utatumiwa video ya maelekezo ya kusaidia ku assembo na isitoshe ndani ya box kuna kitabu kidogo chenye maelekezo ya ku assembo mashine, na nirahisi hauitaji fundi hata wewe mwenyewe unaweza kui assembo

Tunapatikana Dar Mtoni Kijichi, kwa maelezo zaidi piga simu namba 0754385573

IMG-20180904-WA0011.jpg

IMG-20180904-WA0012.jpg

IMG-20180904-WA0010.jpg

IMG-20180908-WA0000.jpg
 
Iko sawa lakini unaweza kuiwasha kwa muda gani mfululizo?
 
Hii machine inaonekana inatumia motor moja kwa vinu vyote viwili, maana yake inakuwa effective unapokoboa na kusaga kwa wakati moja, au ufafanuzi tafadhali
 
MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI

BEI: 450,000/=

Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA!

KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa matakwa yako au kama upo karibu na walimaji wa mahindi unaweza KUKODISHA mashine hii kwa bei unayotaka kwa siku kadhaa hivyo kukuingizia FAIDA ZAIDI, hii ni njia moja ya kujitengenezea kipato popote ulipo

MZIGO MWENGINE UMEWASILI, USISIKIE KWA MWENGINE PATA YAKO KWA BEI NAFUU

IPO DAR TEYARI KWA ANAYEHITAJI, hapo kwa hapo....

MASHINE ZIPO CHACHE, ZIKIISHA HADI KUWEKA ODA... kua mjanja upate yako siku hiyohiyo

Mashine inasifa zifuatazo
Mashine ni ya kupukuchua punje za mahindi kutoka kwenye muhindi
Inatumia umeme wa kawaida wa yani 220v
Inaweza kupukuchua hadi 1500kg ya mahindi kwa lisaa limoja
Imetengenezwa na material nzuri ya kudumu
MASHINE ZIPO CHACHE, WAHI SASA...
Zinatoka moja kwa moja kutoka viwandani
Mawasiliano zaidi whatsapp +8615721537610
Au mwakilishaji wetu wa Dar 0754385573
Wamikoani malipo mzigo ukiwekwa kwenye chombo cha usafiri,
wa Dar malipo ukishapokea mzigo wako

Email gettrendy101@outlook.com
Umechoka kuajiri watu wakufanyie hii kazi?
ZIMEBAKI CHACHE!

PATA OFFER HII

HII NI OFFER KABAMBE!
View attachment 928881View attachment 928882View attachment 928883
Nahitaji hiyo mashine ila ya kutumia diesel pia kwa kuwa inatoka kiwandani nitahitaji hiyo body tuifanyie marekebisho kdg, pia mota yenu ina ukubwa gani?
 
Back
Top Bottom