INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam
Unataka kujianzishia biashara yako nyumbani ya kusaga na kukoboa mahindi, mpunga, n.k au wewe ni mkulima unayetaka kuwa na mashine yako mwenyewe ya kusaga na kukoboa mahindi, mpunga na nafaka mbalimbali, basi hii ni chance yako.. kwa tshs 1,300,000 unajipatia mashine yako na faida yake utajionea


⭕Mashine imebaki MOJA tu, ipo Dar

Sifa za mashine hii
🔸️Mashine ina pande mbili, pande moja ni ya kukoboa, upande wa pili ni kusaga
🔸️Motor yake ni ya 2.2kw 2800r/m
🔸️Rahisi kutumia
🔸️uwezo wa kusaga na kukoboa zaidi ya 300kg kwa saa
🔸️Ni mashine ndogo unayoweza kuiweka sehemu popote nyumbani
🔸️Bei yake ni bei ya kiwandani yani 1,300,000/= (fixed price)
🔸️mashine ina uzito 83kg (mashine pamoja na motor yake) upana 1260×400×1120mm
🔸️inatumia umeme wa kawaida wa majumbani

Maelezo zaidi
🔴mashine kwa sasa ipo Dar, kwa wateja walio teyari kuinunua wasiliana nami whatsapp +8615721537610 au mwakilishaji wetu wa Dar 0754385573
🔴Kuna wateja wetu wa mda waliwasiliana na mimi au mwakilishaji wetu tangu mwakani walitaka kujiandaa kipesa kabla ya kununua, kama wapo teyari tutawapa kipaumbele cha kwanza
🔴Mashine imebaki MOJA tu hapo Dar, mteja akiwahi kuinunua wengine wanatakaotaka wasiliana nasi uweke ODA, MALIPO MZIGO UKIFIKA TZ
🔴Ndugu walio mikoani, kama una njia ya sisi kukusaidia kusafirisha mashine tuambie (usafirishaji ni juu yako) AU tunaweza kusaidia kupeleka mashine kwenye kampuni utakayopendekeza ya usafirishaji kutoka Dar kuja popote ulipo, ila malipo kabla ya mashine kuwekwa kwenye chombo cha usafiri
🔴Ili kurahisisha usafirishaji, mashine haijawa assembled, ila ukinunua mashine utatumiwa video ya maelekezo ya kusaidia ku assembo na isitoshe ndani ya box kuna kitabu kidogo chenye maelekezo ya ku assembo mashine, na nirahisi hauitaji fundi hata wewe mwenyewe unaweza kui assembo

Tunapatikana Dar Mtoni Kijichi, kwa maelezo zaidi piga simu namba 0754385573


Hizi mashine bado zipo?
 
Nmeipenda sana machine hii kama bado zinapatikana tafadhar mtujuze
 
Screenshot_20211218-172809_Gallery.jpg


Bei 1,500,000/=

Sifa za mashine hii
●Mashine ina pande mbili, upande mmoja ni wa kusaga na upande wa pili ni wa kukoboa.
●Inarahisisha kazi na kupunguza gharama ya umeme
●Inaweza koboa mpunga, mtama, mahindi, n.k (kwa saa 200kg)
●Inaweza saga mahindi, mchele, manjano, kahawa, mtama n.k (kwa saa 300kg)
●Ni portable na rahisi kutumia
●inatumia motor ya 3000Watts
●Inatumia umeme wa kawaida wa majumbani, yani 220V
Mashine ni MPYA

Mashine ipo DAR,
Namba 0754385573
Au tuma message +8615721537610 (WhatsApp )

NB: Kwa mikoani nitatuma kwa gharama za mteja





Screenshot_20211218-172916_Gallery.jpg


Screenshot_20211218-172841_Gallery.jpg
 
Mimi naitamnani sana hii machine lakini sijajua ufanisi wake hasa
 
Screenshot_20211225-080620_Gallery.jpg
Mashine ya kutengeneza siagi ya karanga au ufuta (peanut butter na sesame paste) MPYA

♦️PUNGUZO LA SIKUKUU (HOLIDAY SALE)♦️
Pata mashine kwa punguzo la sikukuku

Bei ya sikukuu shillingi 550,000
(mwisho Januari 5)

Bei ya mwanzo ni 650,000



Uzalishaji/inatengeneza kilo 15 (15kg) ya siagi (peanut butter au sesame paste) kwa saa
Imetengenezwa na chuma imara kisichopata kutu
Rahisi kutumia
Inatumia umeme wa kawaida wa majumbani

Mashine ipo Dar,

Number ya simu 0754385573
Wakwanza kuulipia atachukua! Karibuni

Screenshot_20211225-080606_Gallery.jpg


Screenshot_20211225-080649_Gallery.jpg


Screenshot_20211225-080629_Gallery.jpg
 
Bei 890,000/=
Intelligent inkjet hand printer (MPYA)
Mashine ya ku print batch number, expiry date, manufacturing date, logo (Nyeusi), bar code, nk

Mashine inafaa wafanya biashara au wajasiliamali wadogo wanaotengeneza bidhaa zao wenyewe za kuuza

Mashine ipo moja MPYA na pia unaweza weka Oda...
Malipo yote unafanya ukipokea mzigo wako (kwa wateja wa Dar)
kwa mikoani inategemea

Maelezo
▪Ina system yenye lugha tofauti za kimataifa mfano kiingereza, Kiarabu, Kichina nk
▪Ina battery 2600MAh, ukisha charge ikijaa unatumia masaa nane mfululizo
▪Wino mweusi (kama unataka wino rangi nyengine bei tofauti )
▪System: Linux
▪Printing quality: 600dpi
▪CPU: Quad core 1.4GHz
▪Uzito 0.7kg
▪Pia unapata USB na input pen ya printer
▪Ina print kwenye vitu mbalimbali mfano mbao, mawe, box, karatasi, staineless steel, plastic, nk

Karibuni!
WhatsApp:
+86 18916240026 au +8615721537610 (kupata maelezo kuhusu mashine, jinsi ya kuweka oda, malipo nk)

Au
mwakilishi wa Dar 0754385573 (kuhusu kuweka oda, usafirishaji kwa mikoani nk)

1681542481.png


20220423_132026.png


656549024.png


-1540939552.png


1058656503.png


1562844045.png


-1669978109.png


-119823994.png
 
Hii ni nzuri kwa biashara ya viungo vikavu vya kusaga vya chai na pilau nk
 
Dah! Ningekuwa bado naishi Ifakara, ningenunua hii kitu. Msimu kama huu ngingekua nakula tu ubwabwa kwa mlamu kalia ndili, njuju au ndipi! Ukiweka na limao, haki ya nani maisha yangekua ni mepesi kweli kweli.
 
Bei shillingi 650,000
Mashine ya kutengeneza siagi ya karanga au ufuta (peanut butter na sesame paste)

Tshs.650,000 (bei ina maongezi)

Uzalishaji/inatengeneza kilo 15 (15kg) ya siagi (peanut butter au sesame paste) kwa saa
Imetengenezwa na chuma imara kisichopata kutu
Rahisi kutumia
Inatumia umeme wa kawaida wa majumbani
Mashine ni MPYA

Number ya simu 0754385573
Wakwanza kuulipia atachukua! Karibuni
 

Attachments

  • 1658298549.png
    1658298549.png
    219.6 KB · Views: 17
  • -1570610475.png
    -1570610475.png
    207.5 KB · Views: 17
  • 1972956858.png
    1972956858.png
    435.7 KB · Views: 17
  • 207999667.png
    207999667.png
    196.3 KB · Views: 18
Bei 1,500,000/=

Sifa za mashine hii
●Mashine ina pande mbili, upande mmoja ni wa kusaga na upande wa pili ni wa kukoboa.
●Inarahisisha kazi na kupunguza gharama ya umeme
●Inaweza koboa mpunga, mtama, mahindi, n.k (kwa saa 200kg)
●Inaweza saga mahindi, mchele, manjano, kahawa, mtama n.k (kwa saa 300kg)
●Ni portable na rahisi kutumia
●inatumia motor ya 3000Watts
●Inatumia umeme wa kawaida wa majumbani, yani 220V
Mashine ni MPYA

Mashine ipo DAR,
Namba 0754385573
Au tuma message 0758741474

NB: Kwa mikoani nitatuma kwa gharama za mteja
20220618_123210.jpg
 

Attachments

  • 20220618_123320.png
    20220618_123320.png
    625.8 KB · Views: 36
  • 20220618_123347.png
    20220618_123347.png
    420.2 KB · Views: 41
  • 1092535087.png
    1092535087.png
    337 KB · Views: 46
  • -36733430.png
    -36733430.png
    332.3 KB · Views: 47
Back
Top Bottom