robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,111
- 3,294
Naomba ufafanuzi wa jinsi inavyofanya kazi au unitumie video inavyofanya kazi Whatsap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani, nilikutwa na msiba hapo kati sikuingia online... mashine imetoka China na ina mota yakeMuuzaji kaingia mitini?
NdioHyo ni pamoja na mota yake.
Mashine kupata spare Bongo ni rahisi, ila nasisi napo tunaweza kuleta....Mkuu hii mashine haina kipengele? Na imetengenezewa hapahapa tz?
Maana isije ikaloga nikashindwa kupata mafundi
Nipo mkuu, nilifiwa nikawa nafuatilia mambo. Ipo mashine, unaweza mpigia huyu kwa maelezo zaidi+255 686792229 au 0754385573Muuzaji kaingia mitini?