Kwa wakulima wa mahindi, kuna mashine ya kupukuchua mahindi, kuna ya umeme na ya mafuta ya petroli
Ya mafuta (petroli) Tshs 1,300,000
Ya umeme Tshs 350,000
Mashine Zinasifa zifuatazo
●Inatumia mafuta ya Petrol na kuna inayotumia umeme
●Inaweza kupukuchua hadi kilo 3000 (3 tonnes) ya mahindi kwa lisaa limoja
●Imetengenezwa na material nzuri ya kudumu
●inaweza ambatanishwa na matairi ili kusaidia mkulima kuizafirisha shambani
Ya umeme ipo napo 350,000/=, zote zinauwezo sawa wa kupukuchua kwa saa
Wasiliana nami 0754385573 au 0758741474