matairi Bora ya scania
Member
- Feb 11, 2025
- 35
- 26
ungesena una tairi za saizi gani na bei zake mkuu kama hautajaliOfa ofa ofa 🤗🤗🤗🤗🤗View attachment 3274151
karibu ujipatie matairi ya magari madogo na magari makubwa Kwa bei ya punguzo la 10% mwezi ramadhani pamoja na pasaka.
Matairi ya brands mbalimbali za size zote zinapatikana.
Location Vingunguti karibu na sido, Dar es salaam, Tanzania.
Mikoani tunatuma pia Dar es salaam tunafanya delivery.
Call
+255 750 723 188
Matairi yapo mengi mno na kampuni mbalimbali nikiandka bei siwezi maliza Leo kwahyo ukihitaji nitajie full size nakutajia beiungesena una tairi za saizi gani na bei zake mkuu kama hautajali