TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA MAGARI
Kwa mfanyakazi
1.SALARY SLIP
2.BANK STATEMENTS YA MIEZI 6
3.MKATABA WA AJIRA
4.BARUA YA UTAMBULISHO KUTOKA SERIKALI YA MTAA
5.KITAMBULISHO CHAKE NA MDHAMINI
6.PROFOMA INVOICE YA GARI
Kwa Mfanyabiashara
1.BANK STATEMENTS YA MIEZI 6
2.LESEN YA BIASHARA
3.BARUA YA UTAMBULISHO TOKA SERIKALI YA MTAA
4.KITAMBULISHO CHAKE NA CHA MDHAMINI
5.PROFORMA INVOICE
-Mteja atalipa 50% ya pesa kama utangulizi
-Gari lazima ikatiwe bima kubwa pamoja na cartrack(Gprs)
-Muda wa mkopo ni miez 3,6,9 mpaka 12 kwa gari ndogo
Mwaka 1 na miez 6 kwa gari kubwa
Kuwa wa kwanza kuona magari ya kuagiza na ya mikopo kupitia whatsapp 0769177042 tuma sms jina lako nikusave uweze kupata gari ya ndoto yako na kufanya maamuzi kupitia whatsapp
Whatsapp
0769177042