Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa majibu..sema bei yenu kubwa sana..bora tu mtu ujipange uagizie japan moja kwa moja.Ndio inaongezeka na riba kdg 3%
Unalipa kila mwez kwa muda wa miez 12
Aki kujibu unitag.Vipi kuhusu pikipiki?
hatuna mkopo wa pikipikiVipi kuhusu pikipiki?
Ndio karibuMna scania
Mkianzisha wa pikipiki utanitag..hatuna mkopo wa pikipiki
NdioMteja atalipa 50%