Amesema 0km Mkuu!Mkuu hiyo bei ni sawasawa na mpya tuu. Au nayo ni mpya kuna jamaa angu offer yake ilikuwa ndogo sana
kwahiyo hata haija testiwa siyoAmesema 0km Mkuu!
Si unaona hata kirungu cha kwenye gia leaver hakijafungwa!kwahiyo hata haija testiwa siyo
Mkuu unasema!!Amesema 0km Mkuu!
Hiyo chuma ni mbichi kabisa, ipo kwenye wake! Soma tena yake Mkuu.Mkuu unasema!!
Ok.... mkuuHiyo chuma ni mbichi kabisa, ipo kwenye wake! Soma tena yake Mkuu.