Kwanini nimefungua huu utopolo?
 
In Vyumba sita vya kulala Vyumba vitatu ni self contained vikiwemo Master na Chumba special cha wageni Ukumbi/sebule (Living room) Jiko Ukumbi wa kulia (Dining room) Store Sehemu Ya kuogea (Jumla) Choo (Jumla) Ukubwa.

Uwanja mkubwa karibu heka 1 wenye miti ya kuvuli. Kwa habari Zaidi kuhusu kukodisha nyumba hii wasiliana nasi kwa simu/whatsapp. 0784225000


 
Ina vyumba vya kulala vitano, jiko kubwa, sebure kubwa na pahala pa kula. Nyumba ipo hatua chache na pwani yenye mchanga mweupe ya Ununio. Bei 450mil.

Kwa habari Zaidi kuhusu kununua nyumba hii wasiliana nasi kwa simu/whatsapp +255784225000


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…