Tunauza na kussuply material na huduma za ujenzi Dar na Arusha

Tunauza na kussuply material na huduma za ujenzi Dar na Arusha

Architect E.M

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
1,240
Reaction score
1,481
Habari za Kazi wakuu.

Kama kichwa kinavyojieleza, tunauza na kusupply material za ujenzi, kama:

cement,
nondo - 6mm - 32 mm,
mbao (soft wood from iringa za size zote)
gypsum boards & powder,
mabati,
mabomba,
na any other building materials.

Pia tunasupply materials kama mchanga, kokoto, mawe, murrum n.k

prices za kokoto na mchanga zinadepend sana na mahali site ilipo, kwa mfano, ukiwa arusha, mchanga around the vicinity ya mjini ni 350,000/=. na gari zina cubic meters 16.

View attachment 178552

Vile Vile, nafanya installation za madirisha ya aluminium na UPVC. Madirisha ya aluminium yanacost kuanzia 120,000 mpaka 200,000 per square meter depending na aina ya aluminium na glass utakayoipendelea wewe mteja. But quality is our number one priority.

Pia tunafanya kazi za magrille ya milango na madirisha.

View attachment 178550

Lastly, pia tunafanya kazi za landscaping, paving na shades za kukinga magari na jua kali.

Prices zinavary kulingana na quantity aliyonayo mteja, ila roughly, best quality paving (80 mm thick) inakua supplied kwa around 30,000 per square meter.

View attachment 178551

Ni vigumu kutaja product zetu zote kwa maana ni nyingi, lakini we do deliver very good building materials and services, at very affordable prices. Pia hua tunatoa retention period, (guarantee) katika kazi zetu zote.

Tuna historia nzuri ya kufanya kazi na wana J.F wengi, na wamefurahia services zetu.

Tunapatikana:

Sinza 'E' na Goba kwa Dar-es-salaam,

Nia - njema - Bagamoyo Pwani,

Njiro - Arusha

Usa-river - Arusha.

Mawasiliano:

call, text or whatsapp - +255 785 13 16 16.

call or text + 255 717 32 13 36.

call or text + 255 758 50 21 35.

Natanguliza shukran za dhati.

Asanteni sana.
 
Mmmmh mi ndo kwanza nina kiwanja bunju nipe ushauri wa ujenzi ukinivutia tutafanya kazi nina vimilioni viwili unahis nikianza ujenzi wa kakibanda ka vyumba viwili sebule na choo nitafika hatua gani then niangalie jinsi ya kufanya kazi na wewe
 
karibu sana mkuu. kabla hujaanza ujenzi, cha kwanza kabisa uwe na ramani. ukishakua na ramani, tunaweza kucalculate idadi ya material zitakazoingia, then ukaangalia na budget yako, halafu ukaanza kujenga kwa phases. mind you, hakuna pesa kidogo kwenye ujenzi, na kidogo kidogo ukiwa unapiga hatua utashangaa mwenyewe nyumba inaisha.. kuna rafiki yangu mmoja aliwahi kunipa msemo "once you start you are half way",, soo karibu sana, tupigie simu tutazidi kushauriana zaidi mkuu.
 
nipe kazi mkuu serio... nipatie wateja pia.

Mkuu usijali..tuko pamoja kwa hilo...
bado mwaka mmoja nikufate kitaa mazima... Kama unaweza kunisaidia na updated price list of building materials kwa hapa dar nitakua very grateful. Nipo na polish estimation skills and building unit rates...thank you
[email protected]
 
sawa mkuu. price list nitakutumia soon...
 
kokoto half inch na 3/4inch zile nyeusi za msolwa bei ikoje ,site ipo goba mbezi
 
kokoto half inch na 3/4inch zile nyeusi za msolwa bei ikoje ,site ipo goba mbezi

kokoto za msolwa kuleta kwa gari ndogo ni bei kubwa sana. soo tunaletabkwa gari ya cubic meters 20 maarufu kama semi... kwa goba itakua elfu 90 kwa cubic metre.. lakini bei inaweza ikawa negotiable kutokana na site ilipo.. ila mkuu semi itaingia mpaka site?? karibu sana mkuu. ni pm number yako for more information.. au nipigie kwenye number zangu nilizodisplay hapo mkuu...karibu sana.
 
Hiyo kampuni yenu inatwaje? na kokoto ya kia munauzaje ije sanawari arusha?

kampuni inaitwa m.b works l.t.d.. kwa arusha office ipo njiro mkuu... kokoto ya kia ni around laki 9 mkuu.. please tuwasiliane kwa namba ya simu niliyotoa for more information and details. karibu sana mkuu.
 
Vipi kuhusu kufunga gutter za maji na kisima chake?
 
Vipi kuhusu kufunga gutter za maji na kisima chake?

pia tunafanya mkuu... na tuna mafundi wazoefu sana wa kupaua na kutengeneza rain water collection systems.. tuwasiliane kwa simu au emails nikuoneshe sample za kazi kama hizo tulizowahi kufanya mkuu.
 
Ntakutafuta tufanye biashara, I hope bei zenu ni affordable Kwa mtaanzania wa kawaida! Sio bei za kifisadi wala za kitaliii....! I'll give you a call very soon.
 
Ntakutafuta tufanye biashara, I hope bei zenu ni affordable Kwa mtaanzania wa kawaida! Sio bei za kifisadi wala za kitaliii....! I'll give you a call very soon.

hahaha.. bei fair sana mkuu.. yani za mtanzania halisi na wa kawaida. competation ni kubwa sana kwenye busines hakuna namna utaweka bei kubwa usurvive mzee.. soo karibu sana mkuu... bei nzuri, customer service nzuri, professional consultation for free..
 
Mkuu nitakutafuta tufanye kazi, nipo Arusha..
 
Back
Top Bottom