Tunauza na kussuply material na huduma za ujenzi Dar na Arusha

Tunauza na kussuply material na huduma za ujenzi Dar na Arusha

Habari za Kazi wakuu.

Kama kichwa kinavyojieleza, tunauza na kusupply material za ujenzi, kama:

cement,
nondo - 6mm - 32 mm,
mbao (soft wood from iringa za size zote)
gypsum boards & powder,
mabati,
mabomba,
na any other building materials.

Pia tunasupply materials kama mchanga, kokoto, mawe, murrum n.k

prices za kokoto na mchanga zinadepend sana na mahali site ilipo, kwa mfano, ukiwa arusha, mchanga around the vicinity ya mjini ni 350,000/=. na gari zina cubic meters 16.

View attachment 178552

Vile Vile, nafanya installation za madirisha ya aluminium na UPVC. Madirisha ya aluminium yanacost kuanzia 120,000 mpaka 200,000 per square meter depending na aina ya aluminium na glass utakayoipendelea wewe mteja. But quality is our number one priority.

Pia tunafanya kazi za magrille ya milango na madirisha.

View attachment 178550


Lastly, pia tunafanya kazi za landscaping, paving na shades za kukinga magari na jua kali.

Prices zinavary kulingana na quantity aliyonayo mteja, ila roughly, best quality paving (80 mm thick) inakua supplied kwa around 30,000 per square meter.

View attachment 178551

Ni vigumu kutaja product zetu zote kwa maana ni nyingi, lakini we do deliver very good building materials and services, at very affordable prices. Pia hua tunatoa retention period, (guarantee) katika kazi zetu zote.

Tuna historia nzuri ya kufanya kazi na wana J.F wengi, na wamefurahia services zetu.


Tunapatikana:

Sinza 'E' na Goba kwa Dar-es-salaam,

Nia - njema - Bagamoyo Pwani,

Njiro - Arusha

Usa-river - Arusha.

Mawasiliano:

call, text or whatsapp - +255 785 13 16 16.

call or text + 255 717 32 13 36.

call or text + 255 758 50 21 35.

Natanguliza shukran za dhati.

Asanteni sana.

Mkubwa naomba unipe bei ya mawe na kokoto zile nyeupe kwa lori la tani 7 site ipo kimara mwisho Dsm
 
Mkubwa naomba unipe bei ya mawe na kokoto zile nyeupe kwa lori la tani 7 site ipo kimara mwisho Dsm[/QUOT

mkuu lorry tani saba ni kama fuso hizi. mimi napenda zaidi kutumia cubic meters. fuso zina cubic meters 3.5 mpaka 4. na mawe kwa kimara ni around laki moja mkuu. kokoto zinatofautiana. kama unataka ya mkono au ya mashine.. nitafute kwa simu kwa maelezo zaidi mkuu.. karibu sana.
 
Mi nataka mbao nipo MONDULI Kwa vipimo vya 4×2,3×2 and 8×1 zote Kwa urefu wa meter 6. Utafanya shilingi ngapi?
 
Mi nataka mbao nipo MONDULI Kwa vipimo vya 4×2,3×2 and 8×1 zote Kwa urefu wa meter 6. Utafanya shilingi ngapi?

kupata mbao zote kua na urefu wa 6meters ni ngumu. ni bora niwe muwazi kwako.. mimi ntakuuzia mbao kwa running meter moja kaka.. mfano 4 x 2 treated nauza 3500... 3 x 2 treated nauza 3000.. kwaiyo kwa mfano mbao ikiwa na mita 5.4 ... utachukua 5.4 x 3500 ndio price ya mbao.. bei hizi ni kwa arusha mjini, hivyo kwa monduli ni kiasi tu cha kunegotiate transport costs...na ni mbao zenye dawa. well treated na zinafaa kwa kupaua... karibu sana mkuu.. tuwasiliane zaidi kwa simu.
 
Madirisha ya PVC kwa sq m sh ngapi kwa kioo cha kawaida cha bei nafuu?
 
Mkuu na mi naomba unitumie price list ya product zenu pm
 
Mpe jibu bas mkuu na mimi nijue.

mkuu nisamehe nilikua nje ya mtandao kidogo huko vijijini nikisaka wateja.

bati za msouth zipo, zina quality tofauti.. I will be very honest, kwakua najenga jina na njia ya kutokea kibiashara. zipo bati za msouth zinazopauka. bei yake inaanzia elfu 12.. the best quality zinaenda mpaka 15 per piece na nyingine nzuri kama decra za nabaki africa wanauza 18 i think. karibuni sana wakuu.
 
mkuu ndio nimerudi kutoka kijijini leo usiku huu.. kesho mchana nikishamaliza baadhi ya shuguli ntaituma mkuu.. samahani sana kwa kuchelewesha.
 
Haya mtaalam,humu wateja utawakimbia mwenyewe.
Ila sie wengine ni watu wa mkopo tunakuja hivi:-
Kuna nyumba nataka kujenga,lakini sitaki isimame kwa kuhofia mvua za mwezi wa tatu,maana kuna maeneo mvua ikiinyeshea nyumba ikiwa haijaisha basi maji yanaititiza nyumba au inakatika hasa baadhi ya maeneo ya Chanika.
Je mnakopesha ?na taratibu zipoje?
 
Haya mtaalam,humu wateja utawakimbia mwenyewe.
Ila sie wengine ni watu wa mkopo tunakuja hivi:-
Kuna nyumba nataka kujenga,lakini sitaki isimame kwa kuhofia mvua za mwezi wa tatu,maana kuna maeneo mvua ikiinyeshea nyumba ikiwa haijaisha basi maji yanaititiza nyumba au inakatika hasa baadhi ya maeneo ya Chanika.
Je mnakopesha ?na taratibu zipoje?

dah.. kukukopesha material kiasi gani mkuu?? ila ni ngumi sana.. maana guarantee yangj ni nini..?,, kwa kwelk ni ngumu mkuu.
 
Kazi nzuri sana mkuu!
sisi wa mikoa mengine (singida/dodoma) tunasikitika kukosa kupata huduma kutoka kwako, lakini tuko pamoja japo kimawazo!
 
Kazi nzuri sana mkuu!
sisi wa mikoa mengine (singida/dodoma) tunasikitika kukosa kupata huduma kutoka kwako, lakini tuko pamoja japo kimawazo!

mkuu.. nadhani kwa dodoma na singida tunaweza kussuply vitu kama aluminium.. nondo... na vinginevyo. lakini nadhani kokoto na mchanga itakua ngumu kidogo.. lakini karibu mkuu.. aluminium yumefanya kazi mpaka tukuyu na sumbawanga. karibu sana mkuu.. siku hizi kusafirisha vitu kama hivyo sio ngumu mkuu.
 
Back
Top Bottom