Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Hela lazima ikuumize akili uwe nayo au usiwe nayoRelax Mzee mwenzangu utapata magonjwa ya moyo bure 🤣🤣🤣
Hata ukipaniki hela ndio itakufuata ?
Set mipango yako vizuri, halafu uamini kwamba kila jambo lenye heri ni mchakato. Na kwenye mchakato kuna maumivu, shida, njaa, dharau lakini uwe mvumilivu kila kitu kitajipa kwa wakati ulio sahihi.