dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #181
Inabidi tumsaidie tu kujibu kama alivyouliza mkuu siunajua tenaGoogle unaifanyia kazi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi tumsaidie tu kujibu kama alivyouliza mkuu siunajua tenaGoogle unaifanyia kazi gani?
Kastama kea Yuko vizuri Sana ila mjuba ana bei huyu balaaaBwana dovillenproperty uko vizuri sana customer care. Safi sana. Nimekua nikifuatilia matangazo yako uko very down to earth ktk majibu yako hata kama maswali ni ya kebehi.
Mungu akusaidie aisee ufike mbali sana ktk shughuli zako.
Customer care ni janga la taifa kibongobongo.
Hahaha asante sana mkuu ila usijali hii bei ni ya kuanzia tu,karibu uone nyumba maongezi yapo
Asante sana mkuu.Bwana dovillenproperty uko vizuri sana customer care. Safi sana. Nimekua nikifuatilia matangazo yako uko very down to earth ktk majibu yako hata kama maswali ni ya kebehi.
Mungu akusaidie aisee ufike mbali sana ktk shughuli zako. Customer care ni janga la taifa kibongobongo.
Shukran kwa ukumbusho..Google unaifanyia kazi gani?
Pole kama nimekujibu harshlyShukran kwa ukumbusho..
Hahaha.... amini usiamini ilikuwa taaaamu kwangu!!Pole kama nimekujibu harshly
🙏🙏🙏 nawe pia!Hahaha.... amini usiamini ilikuwa taaaamu kwangu!!
Muda mwingine harsh huwa Sweet... be blessed ndg.
Ameen... sasa hebu turudi ktk mada .... wanishaurijee/mtazamo wako kuh: bangalow hilo?🙏🙏🙏 nawe pia!
Hahaa .... Ngoja uone picha zake za ndani ndugu.Ameen... sasa hebu turudi ktk mada .... wanishaurijee/mtazamo wako kuh: bangalow hilo?
Sawa.. ukununua mtumba siunabadili vya ndaniHahaa .... Ngoja uone picha zake za ndani ndugu.
Kweli ndg. Nisikurupuke..acha nione..Hata mtumba ni vizuri kuuchunguza kama unaendana thamani na pesa yako.Kuna mwingine utaambiwa ni 10k utanunua na mwingine utaambiwa ni 2k ila utagoma!! Kama vya kubadili ni vingi utabadili vingapi
Shukrani...BTW unaendeleaje huko "west"?Kweli ndg. Nisikurupuke..acha nione..
Thanks
Life goes on... nashukuru kwa uzima ..Shukrani...BTW unaendeleaje huko "west"?
Hujaathirika na hii misukosuko ya karibuni?Life goes on... nashukuru kwa uzima ..
Hahaaa mkuu wasiliana na mimi nikupe nyumba zipo kuanzia Tsh 15mMafisadi, wala rushwa, wanaoendesha biashara za haramu na watoa kafara ndo wataweza kulinunua hilo jumba. Sisi wenye biashara za halali acha tuendelee kuzikusanya mdogo mdogo
Karibu sana mkuu, nichk WhatsApp kwenye hiyo no hapo juu thn nitakutumia picha za ndani hadi video ya kila chumba tena kwa uwaziKweli ndg. Nisikurupuke..acha nione..
Thanks
Weee ndg. Nitakie kheri bhana!!Hujaathirika na hii misukosuko ya karibuni?