Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Bwana dovillenproperty uko vizuri sana customer care. Safi sana. Nimekua nikifuatilia matangazo yako uko very down to earth ktk majibu yako hata kama maswali ni ya kebehi.
Mungu akusaidie aisee ufike mbali sana ktk shughuli zako.
Customer care ni janga la taifa kibongobongo.
Kastama kea Yuko vizuri Sana ila mjuba ana bei huyu balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana dovillenproperty uko vizuri sana customer care. Safi sana. Nimekua nikifuatilia matangazo yako uko very down to earth ktk majibu yako hata kama maswali ni ya kebehi.

Mungu akusaidie aisee ufike mbali sana ktk shughuli zako. Customer care ni janga la taifa kibongobongo.
Asante sana mkuu.
 
Mafisadi, wala rushwa, wanaoendesha biashara za haramu na watoa kafara ndo wataweza kulinunua hilo jumba. Sisi wenye biashara za halali acha tuendelee kuzikusanya mdogo mdogo
 
Back
Top Bottom