Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

NI SHERIA KUWA NA KIBALI CHA UJENZI KUTOKA MANISPAA HUSIKA KABLA YA KUANZA UJENZI HIVYO SI UHUNI
 
Kama ni Madale hata Nyumba yangu walichora hivyo hivyo watu wa Manispaa eti SIMAMISHA UJENZI,kimsingi Nyumba zote kabla hujajenga unatakiwa uwe na Kibali cha Manispaa,sasa sie wengine ukinunua tu kiwanja unaanza kujenga bila Kibali.

Kwa Madale nadhani nyumba zote walizichora hayo maandishi,ukienda Manispaa wanataka pesa tu Laki Tatu basi mchezo umeisha,tena nyingine wamechora hayo maandishi wakati watu wameshahamia na kuhamia, uhuni tu
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi huu na ni kwel na hii ilikuwa miongoni mwa zilizopitiwa na kazia hii
 
Manispaa Kinondoni wahuni sana,nami narudi kutoka mihangaiko yangu nakuta wamechora nyumba yangu hukohuko Madale Flamingo Simamisha Ujenzi nikashangaa,kumuuliza jirani yangu nae wamemchorea hivyohivyo,asubuhi tukawafuata ofisini kwao,tukawapoza na Lakilaki wakatupa hivyo vikaratasi vyao eti ndio vibali daaah,upigaji nchi hii hautakuja kwisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha mimi nliwawahi,mimi nko mashamba ya jeshi pale
Ila naona waliwachorea watu sehemu kubwa huko hadi nyakasangwe kuelekea msigani
Ila naskia zoezi lilisitishwa,style tu ya kutafuta hela ilikuwa

Ova
 
Hahaha mimi nliwawahi,mimi nko mashamba ya jeshi pale
Ila naona waliwachorea watu sehemu kubwa huko hadi nyakasangwe kuelekea msigani
Ila naskia zoezi lilisitishwa,style tu ya kutafuta hela ilikuwa

Ova
Kweli kabisa mkuu
 
Nyumba inauzwa MBWENI UBUNGO

Nyumba ina vyumba 3 vyote ni self
Nyumba ni ya kisasa na imezunguushiwa fence
Size plot 1000 sqm.

Bei Tsh 350m
Maongezi zaidi 0756060183
20220218_171817.jpg
20220218_170616.jpg
20220218_170612.jpg
20220218_170710.jpg
20220218_170336.jpg
20220218_170431.jpg
 
Back
Top Bottom