dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #2,081
Pamoja sana mkuuAhsante Kwa taarifa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana mkuuAhsante Kwa taarifa...
Pamoja sana mkuuAhsante kwa taarifa...
Karibu sio KALIBUHICHO KIWANJA
KINAUZWA KIPO
WAZO KONTENA
KALIBU NA KWADAIMONDI
ALIPONJENGA
KIPO TAMBALALE
HAKINA MATATIZO YOYOTE
Ĺ BEI MILION 4,500,000 KINAMITA 17 KWA 18 UNAWEZA KUJENGA NYUMBA YAKUISHI AU APARTMENT NI JIRANI KABISA NA BARABARA YAKWENDA
MADALE MPAKA KWENYE KIWANJA DAKIKA 4 KWAMIGUU
MAWASILIANO ZAIDI 0756060183View attachment 2157104View attachment 2157106View attachment 2157107View attachment 2157108
We jamaa umenichekesha sana [emoji23], Ila ndicho alochoandika Hilo na sidhani kama hats comment yako ataielewa...Mzee milioni 4,500,000/= unajua ni trillion 4.5 yani kiwanja unauza sawa na bajeti ya wizara ya afya?
Why mnapima viwanja vidogo sana?HICHO KIWANJA
KINAUZWA KIPO
WAZO KONTENA
KALIBU NA KWADAIMONDI
ALIPONJENGA
KIPO TAMBALALE
HAKINA MATATIZO YOYOTE
Ĺ BEI MILION 4,500,000 KINAMITA 17 KWA 18UNAWEZA KUJENGA NYUMBA YAKUISHI AU APARTMENT NI JIRANI KABISA NA BARABARA YAKWENDA
MADALE MPAKA KWENYE KIWANJA DAKIKA 4 KWAMIGUU
MAWASILIANO ZAIDI 0756060183View attachment 2157104View attachment 2157106View attachment 2157107View attachment 2157108
Asante mkuu kwa usahihiKaribu sio KALIBU
Alipojenga sio ALINJENGA
Mkuu viwanja vinauzwa kulingana na uwezo wa mnunuzi,ndio maana sinza, manzese,Kaliakoo nk viwanja vyake ukubwa havizidi 300 sqm.Why mnapima viwanja vidogo sana?
Sasa Hiki kutakuwa na parking kweli?
Aiseeh ulijuaje sijaielewa kabisa maana milioni nne na laki tano inakuwaje bajeti ya Nchi?We jamaa umenichekesha sana [emoji23], Ila ndicho alochoandika Hilo na sidhani kama hats comment yako ataielewa...
Nashkr sana mkuuBei nzuri sana
Tofautisha kuandika Million 4.5 v/s Million 4,500,000.Aiseeh ulijuaje sijaielewa kabisa maana milioni nne na laki tano inakuwaje bajeti ya Nchi?
Aiseeh!Tofautisha kuandika Million 4.5 v/s Million 4,500,000.
Yaani ukusanye million million mpaka zifikie 4,500,000 si hela nyingi sana hizi
aiseeMILION 4,500,000
This is new news to me and a great one! Is this true?havizidi 300 sqm.
Yes that's trueThis is new news to me and a great one! Is this true?