Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
So tusinunue lile tununue hili?Mimi ninalo hapo gumbonneka, unaingilia mazingara ekari 70 kila eka laki5 tu madini hayakosi humo ingawa sijachimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So tusinunue lile tununue hili?Mimi ninalo hapo gumbonneka, unaingilia mazingara ekari 70 kila eka laki5 tu madini hayakosi humo ingawa sijachimba
So tusinunue lile tununue hili?
Acha kucheka wewe njoo utajirike watoto waishi kishua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana mkuu! Yeah hati iliyopo ni ya shamba ila kuna lesen ya uchimbaji na vibali vyote na kazi mpaka sasa zinaendelea. Unaweza kunichk nikutumie video WhatsAppUmeweka Tangazo lako vizuri hongera. Ila ukifanikiwa si haba mkuu, 510m si mchezo
Tunakuombea ufanikiwe
Nina kaswali kidogo mkuu, limepimwa kama shamba au kama mine lease?
Mkuu mingoi ni mbele kidogo ya bunju..ukifika bunju mwisho unavuka daraja kama unaelekea mapinga.katikat hapo ndio mingoi,kwa kujua zaidi nipigie nikuelekeze mpaka ufike kwenye nyumbaBunju Mingoi ndio wapi na ni mkoa gani?
Hahaa upate upako wa kitakatifuNinunue niwe jirani na Mzee wa kapelenaumo
Shukran mkuuNzuri sana
Hahaa kazi hiyo kwangu mimi dalali ni nyepesi sana we nambie nimlete wapiKuna demu ntakupa namba yake umpigie mshawishi akubali nimnunulie kwa sharti kuwa atanipa papuchi. Akikubali natoa hiyo pesa. Mwaka wa 3 huu ananikataa na sielewi shida nini. Maana pesa ninayo halafu ni muhendisamu. We ongea naye mshawishi akubali hilo sharti then unijulishe. Nalipa hiyo bil 1.3
Wazo na ushauri huu ni mzuri ila kw hapa Nchini wanaouza nyumba wengi ni watu binafs amejenga nyumba yake shida imemshika anaamua kuuza akafanye mambo mengine! Sasa ukianza kutaka mkopo kwakwe atakuona kituko..lambda uamua kwenda benk wenyewe ndio wamlipe mwenye nyumba na wewe wa kukopeshe kwa utaratibu huo.Leo Wikiendi nimejipa ka "homework" kuangalia kama Jumba hili lingeuzwa huko Marekani hali ingekuwaje. Kwa kutumia "Forbes Advisor" na kwa kukokotoa kwa kiwango cha dola moja ya kimarekani kwa shilingi 2,300 za kitanzania, nimepata majibu haya.
Kwanza Jumba hilo lingeuzwa kwa dola za kimarekani kama 565,218. (Tsh.1,300,000,000)
Pili kama mnunuzi angelinunua kwa mkopo (Mortgage) basi angetakiwa kulipa 20% malipo ya awali (Down Payment) ya bei halisi ya Jumba hili ambalo ni sawa na Dollar 113,043 (Tsh.259,998,800). Na 4.5% Riba ya mkopo itawekwa kwenye kila malipo ya mwezi ya mkopo.
Baada ya hapo kinachofuatia ni maamuzi ya mteja atalipa mkopo wake wa manununzi ya Jumba hili kwa muda gani.
Kama akiamua kulipa kwa miaka 30 mfululizo hali itakuwa hivi.Kwa mwezi atatakiwa kulipa deni na riba, Kodi ya Jengo, Bima ya wamiliki Nyumba, kwa Dollar za Kimarekani 2,772 (Tsh.6,260,600).
Kama ataamua kulipa deni hilo kwa miaka 20, mambo yatakuwa hivi. Kwa mwezi atatakiwa kulipa Dollar 3,291 (Tsh. 7,569,300).
Kama ataamua kutumia miaka 15 kumalizana na waliomkopesha, utaratibu utakuwa ni huu. Kila mwezi atalipa Dollar 3,890 (Tsh. 8,947,000)
Na kama ana ubavu wa kulipa kwa miaka 10, basi jamaa kila mwezi atatakiwa kulipa Dollar 5,117 (11,769,100).
Malipo hayo yamejumuisha hayo mambo manne. Deni halisi, riba ya mkopo, Kodi ya Jengo na Bima ya wamiliki nyumba.
Jee mfumo huu wa manunuzi ya nyumba utafaa kwa Tanzania? Maana kama ungekuwepo kijana mwenye hizo shilingi 259,998,800 tayari angekuwa anajivinjari kwenye jumba hilo mida hii.
mkuu wewe hutaki utajiri? ndugu jamaa na marafiki zako wote hawataki utajiri? jirani zako na wafanyakazi wenzio hawataki utajiri?Asante sana mkuu! Yeah hati iliyopo ni ya shamba ila kuna lesen ya uchimbaji na vibali vyote na kazi mpaka sasa zinaendelea. Unaweza kunichk nikutumie video WhatsApp
Ni kweli lakini ni kwa nini Shirika kubwa kama National House Corporation wasifanye hivyo? Maana kuna vijana kibao wanaingia kwenye ajira na wanataka nyumba lakini hawana "cash" za kujenngea nyumba papo kwa hapo.Wazo na ushauri huu ni mzuri ila kw hapa Nchini wanaouza nyumba wengi ni watu binafs amejenga nyumba yake shida imemshika anaamua kuuza akafanye mambo mengine!
Kama kungekuwa na ajira za Uhakika, ingewezekana.Maswal ya kukopa nyumba kuafrica siyo sawa kbsa tuwaachie waazungu
900 inapemlndeza zaidi. Hii nyumba naona matajiri wa JF wanaifaidi kwa macho tu....Nina 950 millioni.utachukua?
Ukimiliki mjengo kama huo hakuna mchuchu wenye chura yake utakaothubutu kukunyima mbuchuchuKha! Kweli watu wanaishi.