Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Ipo salasala jirani na kwa aliyekuwa spika Ndugai
Nyumba ina vyumba 5 na kati ya hivyo 4 ni self,stingroom Dainingroom kitchen nk
Size plot 1800 SQM
Hati ipo
Bei 600,000$

Picha na video zaidi naomba unichek WhatsApp no
0756060183

IMG-20220904-WA0033.jpg
IMG-20220904-WA0032.jpg
 
Umeweka Tangazo lako vizuri hongera. Ila ukifanikiwa si haba mkuu, 510m si mchezo

Tunakuombea ufanikiwe

Nina kaswali kidogo mkuu, limepimwa kama shamba au kama mine lease?
Asante sana mkuu! Yeah hati iliyopo ni ya shamba ila kuna lesen ya uchimbaji na vibali vyote na kazi mpaka sasa zinaendelea. Unaweza kunichk nikutumie video WhatsApp
 
Bunju Mingoi ndio wapi na ni mkoa gani?
Mkuu mingoi ni mbele kidogo ya bunju..ukifika bunju mwisho unavuka daraja kama unaelekea mapinga.katikat hapo ndio mingoi,kwa kujua zaidi nipigie nikuelekeze mpaka ufike kwenye nyumba
 
Leo Wikiendi nimejipa ka "homework" kuangalia kama Jumba hili lingeuzwa huko Marekani hali ingekuwaje. Kwa kutumia "Forbes Advisor" na kwa kukokotoa kwa kiwango cha dola moja ya kimarekani kwa shilingi 2,300 za kitanzania, nimepata majibu haya.

Kwanza Jumba hilo lingeuzwa kwa dola za kimarekani kama 565,218. (Tsh.1,300,000,000)

Pili kama mnunuzi angelinunua kwa mkopo (Mortgage) basi angetakiwa kulipa 20% malipo ya awali (Down Payment) ya bei halisi ya Jumba hili ambalo ni sawa na Dollar 113,043 (Tsh.259,998,800). Na 4.5% Riba ya mkopo itawekwa kwenye kila malipo ya mwezi ya mkopo.

Baada ya hapo kinachofuatia ni maamuzi ya mteja atalipa mkopo wake wa manununzi ya Jumba hili kwa muda gani.

Kama akiamua kulipa kwa miaka 30 mfululizo hali itakuwa hivi.Kwa mwezi atatakiwa kulipa deni na riba, Kodi ya Jengo, Bima ya wamiliki Nyumba, kwa Dollar za Kimarekani 2,772 (Tsh.6,260,600).

Kama ataamua kulipa deni hilo kwa miaka 20, mambo yatakuwa hivi. Kwa mwezi atatakiwa kulipa Dollar 3,291 (Tsh. 7,569,300).

Kama ataamua kutumia miaka 15 kumalizana na waliomkopesha, utaratibu utakuwa ni huu. Kila mwezi atalipa Dollar 3,890 (Tsh. 8,947,000)

Na kama ana ubavu wa kulipa kwa miaka 10, basi jamaa kila mwezi atatakiwa kulipa Dollar 5,117 (11,769,100).

Malipo hayo yamejumuisha hayo mambo manne. Deni halisi, riba ya mkopo, Kodi ya Jengo na Bima ya wamiliki nyumba.

Jee mfumo huu wa manunuzi ya nyumba utafaa kwa Tanzania? Maana kama ungekuwepo kijana mwenye hizo shilingi 259,998,800 tayari angekuwa anajivinjari kwenye jumba hilo mida hii.
 
Nyumba ipo Kinondoni Biafra maoneo ya Kanisani mitaa mizuri na ina utulivu wa kutosha.
Vyumba 3 self, Sitting room, Dining room, kitchen nk.
Na pia kuna nyumba ndogo ya 2 bedrooms
Hati ipo.
Bei 390m
Maongezi zaidi 0756060183

20220830_161955.jpg
20220830_162055.jpg
20220830_162049.jpg
20220830_162231.jpg
 
Kuna demu ntakupa namba yake umpigie mshawishi akubali nimnunulie kwa sharti kuwa atanipa papuchi. Akikubali natoa hiyo pesa. Mwaka wa 3 huu ananikataa na sielewi shida nini. Maana pesa ninayo halafu ni muhendisamu. We ongea naye mshawishi akubali hilo sharti then unijulishe. Nalipa hiyo bil 1.3
Hahaa kazi hiyo kwangu mimi dalali ni nyepesi sana we nambie nimlete wapi
 
Leo Wikiendi nimejipa ka "homework" kuangalia kama Jumba hili lingeuzwa huko Marekani hali ingekuwaje. Kwa kutumia "Forbes Advisor" na kwa kukokotoa kwa kiwango cha dola moja ya kimarekani kwa shilingi 2,300 za kitanzania, nimepata majibu haya.

Kwanza Jumba hilo lingeuzwa kwa dola za kimarekani kama 565,218. (Tsh.1,300,000,000)

Pili kama mnunuzi angelinunua kwa mkopo (Mortgage) basi angetakiwa kulipa 20% malipo ya awali (Down Payment) ya bei halisi ya Jumba hili ambalo ni sawa na Dollar 113,043 (Tsh.259,998,800). Na 4.5% Riba ya mkopo itawekwa kwenye kila malipo ya mwezi ya mkopo.

Baada ya hapo kinachofuatia ni maamuzi ya mteja atalipa mkopo wake wa manununzi ya Jumba hili kwa muda gani.

Kama akiamua kulipa kwa miaka 30 mfululizo hali itakuwa hivi.Kwa mwezi atatakiwa kulipa deni na riba, Kodi ya Jengo, Bima ya wamiliki Nyumba, kwa Dollar za Kimarekani 2,772 (Tsh.6,260,600).

Kama ataamua kulipa deni hilo kwa miaka 20, mambo yatakuwa hivi. Kwa mwezi atatakiwa kulipa Dollar 3,291 (Tsh. 7,569,300).

Kama ataamua kutumia miaka 15 kumalizana na waliomkopesha, utaratibu utakuwa ni huu. Kila mwezi atalipa Dollar 3,890 (Tsh. 8,947,000)

Na kama ana ubavu wa kulipa kwa miaka 10, basi jamaa kila mwezi atatakiwa kulipa Dollar 5,117 (11,769,100).

Malipo hayo yamejumuisha hayo mambo manne. Deni halisi, riba ya mkopo, Kodi ya Jengo na Bima ya wamiliki nyumba.

Jee mfumo huu wa manunuzi ya nyumba utafaa kwa Tanzania? Maana kama ungekuwepo kijana mwenye hizo shilingi 259,998,800 tayari angekuwa anajivinjari kwenye jumba hilo mida hii.
Wazo na ushauri huu ni mzuri ila kw hapa Nchini wanaouza nyumba wengi ni watu binafs amejenga nyumba yake shida imemshika anaamua kuuza akafanye mambo mengine! Sasa ukianza kutaka mkopo kwakwe atakuona kituko..lambda uamua kwenda benk wenyewe ndio wamlipe mwenye nyumba na wewe wa kukopeshe kwa utaratibu huo.

Nikipata hela hii Dovillen itajenga na kuuza kwa utaratibu huu wa kukopesha
 
Asante sana mkuu! Yeah hati iliyopo ni ya shamba ila kuna lesen ya uchimbaji na vibali vyote na kazi mpaka sasa zinaendelea. Unaweza kunichk nikutumie video WhatsApp
mkuu wewe hutaki utajiri? ndugu jamaa na marafiki zako wote hawataki utajiri? jirani zako na wafanyakazi wenzio hawataki utajiri?
 
Wazo na ushauri huu ni mzuri ila kw hapa Nchini wanaouza nyumba wengi ni watu binafs amejenga nyumba yake shida imemshika anaamua kuuza akafanye mambo mengine!
Ni kweli lakini ni kwa nini Shirika kubwa kama National House Corporation wasifanye hivyo? Maana kuna vijana kibao wanaingia kwenye ajira na wanataka nyumba lakini hawana "cash" za kujenngea nyumba papo kwa hapo.

Lakini pia nchini mwetu uhakika wa ajira (Job security) haupo!! kuanza kukopesha mtu ambaye mwajiri wake anaweza kumfukuza kazi wakati wowote bila ya sababu ya msingi, ni hatari sana.

Watanzania wengi hatuna vipato vya uhakika vya kudumu.
 
Back
Top Bottom