Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Alikuwa anajenga ghafla katikati ya ujenzi anaamua kuuza. Kwa nini?

Wateja zako wakati mwingine wawe wanakupa na sababu wanapouza majengo kama hayo ili kupunguza mashaka kwa wateja tarajiwa.
 
Reason ya kuuza Ili tusiingie mkenge.
1.Mdaiwa wa benki?
2.Mgogoro wa familia?
3.Kubadili biashara?
4.Madeni yamezidi?
5.Uwanja una mgogoro?
6.Umiliki una mgogoro?
7.Umeamua kumrejea Mungu kwa kuachana na mkataba na shetani
8.Biashara ngumu?
9.
Duh
 
hii sawa kabisa
 
hii sawa kabisa
 
NYUMBA NZURI YA GHOROFA INAUZWA SALASALA MTAA WA PILI KUTOKA KWENYE LAMI.

Nyumba ina vyumba 6 vyote ni self, sttingroom,Dainingroom, Kitchen&Public Toilet
Nk
Na pia kuna nyumba ndogo za wafanya kazi, wageni nk na zote zina vyumba 3 na jiko na vyoo nk
Size plot 4000 SQM
Hati ipo
Bei Tsh 850m

Maongezi zaidi 0756060183
 
JENGO ZURI LA APARTMENTS 4 LINAUZWA BAHARI BEACH

Apartments Zipo 4 upende mmoja zina vyumba 3 self, sttingroom,Dainingroom, kitchen

Na upande mwingine ziko mbili kila moja ina vyumba 2 self contained
Sitting room, dining room, kitchen nk
Size plot 1700 SQM
Jengo bado ni jipya
Mtaa wa pili kutoka lami

Bei Tsh 650m

Maongezi zaidi 0756060183
 
NYUMBA INAUZWA IPO MBWENI MISSION

Nyumba ina vyumba 3 self contained,sttingroom,Dainingroom, kitchen nk
Hati ipo
Size plot 850 sqm
Bei Tsh 85

Maongezi zaidi 0756060183
 
Nyumba kubwa nipeleke wapi kwani mimi TEMBO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…