Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale mambo ya uchumi wa kati kumbe zilikuwa ni porojo tu... naona mpaka leo dovillenproperty hajapata mteja toka hapa JF, watu wanapiga stori tu.Hili dude si masihara aise
Ova
Ahahahahah kwakweli adse aje akiwa na majibu ..Alikuwa anajenga ghafla katikati ya ujenzi anaamua kuuza. Kwa nini?
Wateja zako wakati mwingine wawe wanakupa na sababu wanapouza majengo kama hayo ili kupunguza mashaka kwa wateja tarajiwa.
DuhReason ya kuuza Ili tusiingie mkenge.
1.Mdaiwa wa benki?
2.Mgogoro wa familia?
3.Kubadili biashara?
4.Madeni yamezidi?
5.Uwanja una mgogoro?
6.Umiliki una mgogoro?
7.Umeamua kumrejea Mungu kwa kuachana na mkataba na shetani
8.Biashara ngumu?
9.
Asante sana mkuuBei ni nzuri sana...biashara njema
Sawa mkuuMwambie bei isizidi 25m ...coz hapo wanunuzi wataangalia kiwanja kipo sehemu gan ...hiyo nyumba ni yakubomoa na kuanza upya so mostly hapo wanunuzi wanalenga location ya kiwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei rahisi kabisa hii mkuuNchi ngumu, kiwanga 280 million.....
[emoji1]Jumba kubwa la kupeleka wapi kwani mimi nimekuwa TEMBO!
hii sawa kabisaNYUMBA YA GHOROFA INAUZWA BUNJU
Nyumba bado haijaisha ila imefikia hatua ya kuezeka na finishing
Ina vyumba 4 vikubwa vya kulala vyote ni self
#Stingroom#Dainingroom#kitchen#pupublicktoilet# juu pia kuna stingroom ndogo nk
Chini chumba kimoja self na juu vyumba 3 self
Ramani ya nyumba ni nzr na ni ya kisasa zaidi
Mitaa mizuri na majirani wamejenga vizuri na majengo mapya
Kiwanja kimepimwa na kuna hati
Suze plot 700 SQM
BEI Tsh 195m
Maongezi zaidi 0756060183
View attachment 2348306
hii sawa kabisaNyumba nzuri ya kisasa inauzwa ipo Mbweni Moga ya tatu (3) kutoka kwenye lami. Ramani ya nyumba hii ni (American architectural). Hii nyumba ya kuamia tu hugusi kitu.... Halafu iko jirani na wakuu tofauti tofauti wa ulinzi na usalama...
Nyumba contained, fully A/c, garden nzuri sana, plot sized: 1,350 sqm ina title deed.
- Bei TZS. 1.3 billion maongezi yapo
Mawasiliano zaidi 0756060183View attachment 2342422View attachment 2342423View attachment 2342424View attachment 2342425View attachment 2342426View attachment 2342427View attachment 2342428View attachment 2342429View attachment 2342430View attachment 2342431View attachment 2342432View attachment 2342433View attachment 2342434
Nyumba nzuri hiiIpo salasala jirani na kwa aliyekuwa spika Ndugai
Nyumba ina vyumba 5 na kati ya hivyo 4 ni self,stingroom Dainingroom kitchen nk
Size plot 1800 SQM
Hati ipo
Bei 600,000$
Picha na video zaidi naomba unichek WhatsApp no
0756060183
View attachment 2345920View attachment 2345921
Sana mkuuNyumba nzuri hii
Hahaha.....vyumba 4 vikubwa vya kulala vyote ni self
Nyumba kubwa nipeleke wapi kwani mimi TEMBO!NYUMBA NZURI YA GHOROFA INAUZWA SALASALA MTAA WA PILI KUTOKA KWENYE LAMI.
Nyumba ina vyumba 6 vyote ni self, sttingroom,Dainingroom, Kitchen&Public Toilet
Nk
Na pia kuna nyumba ndogo za wafanya kazi, wageni nk na zote zina vyumba 3 na jiko na vyoo nk
Size plot 4000 SQM
Hati ipo
Bei Tsh 850m
Maongezi zaidi 0756060183View attachment 2562968View attachment 2562969View attachment 2562970View attachment 2562971View attachment 2562972