Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Nyumba bado finishing, ina vyumba 4 na vyote ni self
Sting room,dining room,kitchen
Nk
Size plot 1200 SQM
Bei ya chapchap Tsh 89m
Maongezi zaidi 0756060183

Your browser is not able to display this video.
 
Nyumba bado finishing, ina vyumba 4 na vyote ni self
Sting room,dining room,kitchen
Nk
Size plot 1200 SQM
Bei ya chapchap Tsh 89m
Maongezi zaidi 0756060183
View attachment 1499505
View attachment 1499507
Madalali jaribuni kufanyaga reserach ya kile mnachokiuza, lasivyo mnajiabisha sana. Ndio sababu ya hii fani 7ya udalali kuonekana ya watu fulan hivi njaa njaa wasio na elimu bali maneno meeengiiii.

Unakuta dalali kasikia tu jina la gari likitamkwa haria nae fasta anatangaza kwa maandishi kabisa kua anauza Toyota Haria. Mwengine anakuambia kuna Toyota Civilian inauzwa bila kujua kua Civilian ni jamii ya Nissan, sio Toyota.

Hakuna eneo linaloitwa Mbweni Mwoga, bali kuna MOGA linalotokana na Shule ya MOGA iliyoko hapo.
 
Sawa mkuu na asante kwa usahihi ni kweli ni Moga ila kikubwa hapa ni kuelewana kuwa nyumba iko eneo gani..haya mengine uliyoyaanisha ninakushikuru sana wakati mwingine tutazingatia maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…