dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #241
Bora kununua tu kama hela ipoMiaka nane na miezi minne hivi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora kununua tu kama hela ipoMiaka nane na miezi minne hivi!
Hahaa sana mkuu ila bei inapungua maelewano yapoNyumba kali kweli..ila hiyo bei kwa pesa ya madafu ngoja tupige mahesabu
Hahaa sana mkuu ila bei inapungua maelewano yapo
Bado hamujafika uchumi wa kati [emoji1][emoji1]dah, si wengine kama tunaishi mapangoni vile
[emoji23] yaani we acha tu ndg yangudah, si wengine kama tunaishi mapangoni vile
Duh aiseeh hela nyingi hizi.ila ndio ivyo ndg yangu tofauti ya maishaPesa ya madafu Tsh 1,042,200,000/=
Bado hamujafika uchumi wa kati [emoji1][emoji1]
Duh aiseeh hela nyingi hizi.ila ndio ivyo ndg yangu tofauti ya maisha
Duh sidhani aiseh!Ila walio uchumi wa kati(prof anna tibaijuka ) kwao ni tuhela cha mboga
Aiseeh sijui nani ataniunganisha nae huyu mtu[emoji23]
Madalali jaribuni kufanyaga reserach ya kile mnachokiuza, lasivyo mnajiabisha sana. Ndio sababu ya hii fani 7ya udalali kuonekana ya watu fulan hivi njaa njaa wasio na elimu bali maneno meeengiiii.Nyumba bado finishing, ina vyumba 4 na vyote ni self
Sting room,dining room,kitchen
Nk
Size plot 1200 SQM
Bei ya chapchap Tsh 89m
Maongezi zaidi 0756060183
View attachment 1499505
View attachment 1499507
Sawa mkuu na asante kwa usahihi ni kweli ni Moga ila kikubwa hapa ni kuelewana kuwa nyumba iko eneo gani..haya mengine uliyoyaanisha ninakushikuru sana wakati mwingine tutazingatia maelekezoMadalali jaribuni kufanyaga reserach ya kile mnachokiuza, lasivyo mnajiabisha sana. Ndio sababu ya hii fani 7ya udalali kuonekana ya watu fulan hivi njaa njaa wasio na elimu bali maneno meeengiiii.
Unakuta dalali kasikia tu jina la gari likitamkwa haria nae fasta anatangaza kwa maandishi kabisa kua anauza Toyota Haria. Mwengine anakuambia kuna Toyota Civilian inauzwa bila kujua kua Civilian ni jamii ya Nissan, sio Toyota.
Hakuna eneo linaloitwa Mbweni Mwoga, bali kuna MOGA linalotokana na Shule ya MOGA iliyoko hapo.