Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Hilo ni Boma si nyumba. Ungekua unajua gharama za Finishing usinge thubutu kuweka hiyo bei hapo.

Kila la kheri kwa atakayenunua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema kweli hapo mpaka nyumba iliposimama kujenga inacheza kwenye 10-18 ukisimamia manunuzi ya vifaa na mahitaji yote kwa umakini kabisa, ila watu kutokujua masuala ya Valuation kama ulivyosema wanapigwa bei kubwa na Madalali.
 
Nyie mnao mpinga muuzaji ni hamuijui vizur dodoma .. nyumba ipo kisasa na kisasa kwa dodoma ni kama masaki au mbezi beach ya dsm ni maeneo ambayo wanakaa watu wanao jiweza kidogo.. . Kwa kweri Kisasa ni pazuri sana ... Na viwanja kule ni ghali Sana...... Mimi naona kwa bei hyo kisasa muuzaji yupo sahihi. lakini kama anauza kweri angalau angeanzia 70mil .. kwa sababu hali ya uchumi sio nzuri kwa Sasa.

Work until expensive become cheap.

Tatizo la Dodoma ...watu wanaitengeneza ya kufikurika,Kisasa imekuzwa Kama vile Ni pazuuuri,ilhali Ni pa kawaida Sana...Elfu 85 unanunua viwanja 8 Ihumwa vikubwa na vizuri sana,au 6 Mlimwa C kwa Waziri mkuu ambako Ni kuzuri kuliko Kisasa.
 
Nyie mnao mpinga muuzaji ni hamuijui vizur dodoma .. nyumba ipo kisasa na kisasa kwa dodoma ni kama masaki au mbezi beach ya dsm ni maeneo ambayo wanakaa watu wanao jiweza kidogo.. . Kwa kweri Kisasa ni pazuri sana ... Na viwanja kule ni ghali Sana...... Mimi naona kwa bei hyo kisasa muuzaji yupo sahihi. lakini kama anauza kweri angalau angeanzia 70mil .. kwa sababu hali ya uchumi sio nzuri kwa Sasa.

Work until expensive become cheap.

Sent using Jamii Forums mobile app

Dodoma ni kijiji kinachokuzwa tu na awamu hii.
 
Kwa bei iyo kuuza itakuwa ngumu,sababu ya kwanza ni kuwa kama mtu anahela iyo ni bora anunue kiwanja maeneo ya hapohapo kisasa kisha akajenga mwenyewe kwa hela iyo iyo na bado hela ikabakia
 
Sawa mkuu, ushauri wako ni mzuri na pia nakushauri kabla hujanunua hata shati zingatia valuation itakusaidia Sana.
Wewe ni mmoja wa watu wanaopaswa kufundishwa masuala ya valuation

Valuation inahusu jengo pamoja na ardhi yale

Kibanda cha vyumba vitatu chanika si sawa na kibanda kama hicho kikiwa kijitonyama

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom