faruJoh
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 211
- 160
Ila muuzaji punguza bei maana corona ikitunyoosha vzr utauza ata m.2 na mteja ukose
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mnao mpinga muuzaji ni hamuijui vizur dodoma .. nyumba ipo kisasa na kisasa kwa dodoma ni kama masaki au mbezi beach ya dsm ni maeneo ambayo wanakaa watu wanao jiweza kidogo.. . Kwa kweri Kisasa ni pazuri sana ... Na viwanja kule ni ghali Sana...... Mimi naona kwa bei hyo kisasa muuzaji yupo sahihi. lakini kama anauza kweri angalau angeanzia 70mil .. kwa sababu hali ya uchumi sio nzuri kwa Sasa.
Work until expensive become cheap.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok sawa kabisa mkuu, wakati mwingine nitazingatia ushauri wakoUkisema Ununio watu wengi hawajui Ununio hiko wapi? Mkoa gani? Wilaya gani? Mtaa hupi? Huduma zipi za muhimu zipo katika mtaa huo na urahisi wa kuifikia
Bei ina maongezi mkuu, ukiwa tayri karibu uione na utoe ofa yako na tutaisikiliza
Ulikuwa unajaribu kusema nini hapa?!Nyumba ipo Dsm kunduchi ,Bahari beach na baaada ya hapo Ununio ni mwendo wa km 15 kutoka mwenyewe.
Ulikuwa unajaribu kusema nini hapa?!
Kwa kuangalia properties ambazo umekuwa ukizitangaza hapa JF, nyingi zake ni premium properties!
Kama ndivyo, hasa kwa kuzingatia si wengi wanaofahamu kila sehemu ya Dar, na hata kwa wale wanaofahamu, si rahisi kufahamu kila kitongoji cha eneo husika, sasa nini kinakushinda ku-turn on location kwenye simu ukawa unapata Google Map ya sehemu husika kisha ukawa unaambatanisha na tangazo?!
Huoni tangazo likitokea kama hapa chini linaonesha wazi kwamba unajua unachofanya na unapunguza maswali huku ukiwa umejumuisha maelezo ambayo any serious buyer angependa kuyafahamu:-
Na wewe kweli utakuwa maskini manake mawazo yako yamekaa kimaskini maskini sana, manake wala sijui kilichokuchekesha hapo ni nini!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwenye hii biashara wabongo mmebaki kutoa ushauri tu. Halafu jamaa dalali kwa upoole anapokea shauri zenu.
Dah ukiwa huna pesa bhana nyoko sana.
Una mawazo meeengi mazuri. Wenye pesa hata hawafikiriii. Mda wenyewe wakushauri hawana wako busy kutafta pesa zaidi.
😂😂😂😂 hem na mi maskini mi nipite kushoto.
Kinachonichekesha ni masikini Mimi na wewe tunaujaza huu Uzi halafu hatuna kitu.Na wewe kweli utakuwa maskini manake mawazo yako yamekaa kimaskini maskini sana, manake wala sijui kilichokuchekesha hapo ni nini!
Wote waliotoa ushauri concern yao ni location na wala hakuna aliye-claim kwamba hawezi kununua kwa sababu hafahamu location, kwahiyo hoja yako kwamba "wenye pesa hata hawafikirii..." ni irrelevant!
Unaonaje basi nikikupuuza?! Manake bado wala sijaona kinachokuchekesha hasa ni kipi!! Kama umeumia sana watu kutoa ushauri, that's how public forums work... sasa tatizo hapo lipo wapi?!Kinachonichekesha ni masikini Mimi na wewe tunaujaza huu Uzi halafu hatuna kitu.
Huhitaji kurudia kunitaja taja kwamba mi ni masikini kweli maana nshajisema kua mi nimasikini.
Kwa hiyo wewe ushafanya appointment na muuzaji 😂😂😂😂 dah. Sasa huko private ulikofanya nae appointment si ndio ungemuuliza huko huko location iko wapi?
Au umeuliza hapa kwa faida ya sisi masikini wengine?
Anyways hongera na mijihela yako
Bwana Chige sijui bi Chige 😂😂😂😂 Mimi niko na furaha mda wote wala usijali.Unaonaje basi nikikupuuza?! Manake bado wala sijaona kinachokuchekesha hasa ni kipi!! Kama umeumia sana watu kutoa ushauri, that's how public forums work... sasa tatizo hapo lipo wapi?!
Wenye nafasi zao wanachukua, anakuuliza swali la msingi kabisa kinachokuchekesha nini,ww bado unacheka,huna hela waachie wenye nazo wachukue mzigo.Bwana Chige sijui bi Chige 😂😂😂😂 Mimi niko na furaha mda wote wala usijali.
Sawa nipuuze tu mkuu. Sio shida. Maoni mbona ndio kwake hapa. Where we dare talk openly. So hamna tatizo kabisa.
Ndio maana na Mimi openly nikasema tunaoujaza huu uzi kwa maswali maswali hatuna hela masikini ya Mungu. Pesa ndefu sana hiyo. Hayo in mawazo yangu.