dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #501
Asante sana mkuu,kwakweli tuzitafuteBei nzuri sema hela hizi dah [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu,kwakweli tuzitafuteBei nzuri sema hela hizi dah [emoji3]
Mkuu usisahau kiwanja chake kikubwa karibia heka moja na kwa kunduchi beach bei elekezi ya Serikali kwa SQM moja ni Tsh 150,000.Hiyo Bei ni kubwa sana mara tatu ya thamani ya hilo pagale
Hiyo bei elekezi ya 150,000 ametoa nani? Unajua bei ya sgm 1 New York City ni kiasi gani? Ina maana kunduchi beach ni zaidi ya NYC?Mkuu usisahau kiwanja chake kikubwa karibia heka moja na kwa kunduchi beach bei elekezi ya Serikali kwa SQM moja ni Tsh 150,000.
Sasa hebu zidisha tu mara huo ukubwa thn jumlisha na hilo pagale
Ukipita songambele bar kwa mbele kidogo mtaa wa Tanzania StreetUnunio sehemu gani mkuu
Your welcomeinterested
Hahahaa Usijali mkuu endelea kupiga tu hesabu yamkini utapata jibu.Sijui napiga hesabu hii ili nipate nini
90,000,000 ÷ 400,000 = 225
Miezi 225 ndiyo urejeshe mtaji I.e miaka 225÷12=.18.75 Yaani miaka 18 na miezi 9 Ila ujue kuna ukarabati kila mpangaji alitaka au pia kuboresha. Pia kuna kipindi mpangaji mpya hatapatikana kwa wakati. Jua pia kodi zinaweza kushuka kama real estate itakuwa saturated na pia uzee wa nyumba unaweza pia kupunguza kodi. Hivyo andika miaka 25 ya kurejesha mtaji🤣🤣🤣🤣Sijui napiga hesabu hii ili nipate nini
90,000,000 ÷ 400,000 = 225
Sijui napiga hesabu hii ili nipate nini
90,000,000 ÷ 400,000 = 225
Sawa mkuu maoni yako ni muhimu na asante sana.Nyumba ya vyumba viwili. Sqm 500 ni sh 90 millioni[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]. Mwambie asubiri awamu ya 6 labda pesa itaingia mifukoni. Ngoja wenye uzoefu waje. Mimi natafuta nyumba za kununua maeneo ta kuanzia salasala mpaka Bunju ila siyo kwa bei zako hizi...
Kila biashara lazima uwe na uzoefu nayo maana si kila biashara waweza kufanya ndg nyingine acha tuwaachie wengineMiezi 225 ndiyo urejeshe mtaji I.e miaka 225÷12=.18.75 Yaani miaka 18 na miezi 9 Ila ujue kuna ukarabati kila mpangaji alitaka au pia kuboresha. Pia kuna kipindi mpangaji mpya hatapatikana kwa wakati. Jua pia kodi zinaweza kushuka kama real estate itakuwa saturated na pia uzee wa nyumba unaweza pia kupunguza kodi. Hivyo andika miaka 25 ya kurejesha mtaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Du si mchezo chifuMiezi 225 ndiyo urejeshe mtaji I.e miaka 225÷12=.18.75 Yaani miaka 18 na miezi 9 Ila ujue kuna ukarabati kila mpangaji alitaka au pia kuboresha. Pia kuna kipindi mpangaji mpya hatapatikana kwa wakati. Jua pia kodi zinaweza kushuka kama real estate itakuwa saturated na pia uzee wa nyumba unaweza pia kupunguza kodi. Hivyo andika miaka 25 ya kurejesha mtaji🤣🤣🤣🤣
Chief umeongea vyema sana.Nyumba ya vyumba viwili. Sqm 500 ni sh 90 millioni😎😎😎😎😎. Mwambie asubiri awamu ya 6 labda pesa itaingia mifukoni. Ngoja wenye uzoefu waje. Mimi natafuta nyumba za kununua maeneo ta kuanzia salasala mpaka Bunju ila siyo kwa bei zako hizi...
Ahsante kwa somo mkuu,ubarikiweNyumba ya vyumba viwili. Sqm 500 ni sh 90 millioni😎😎😎😎😎. Mwambie asubiri awamu ya 6 labda pesa itaingia mifukoni. Ngoja wenye uzoefu waje. Mimi natafuta nyumba za kununua maeneo ta kuanzia salasala mpaka Bunju ila siyo kwa bei zako hizi. Juzi nilitembelea nyumba kadhaa Salasala na Goba na bei ziko za wastani kabisa nyumbanzuri room 3 na uwanja Sqm 700 na kuendelea unaanzia 50,60,70m....
Hahaaa anatuharibia kazi huyuahsante kwa somo mkuu,ubarikiwe