Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Kiwanja kimepimwa hati ipo na kina ukubwa wa SQM 520.

Bei 6.5 M.

Maongezi kidogo sana yapo.

Mawasiliano 0756060183.

tapatalk_1602435238577.jpg
 
Karibuni wateja wetu, nyumba tumeamua kupunguza bei.

Njoo na ofa yako tujadiriane maana hii si ya kuikosa
 
Mkuu Nina 15 mil cash, nikivuna ndizi wa 12 nitaongezea 10m mkuu,
 
Nyumba ni ya zamani kidogo na inahitaji matengenezo kama itakavyoonekana kwenye picha.
Ukubwa wa kiwanja ni 1200 SQM.panafaa makazi na biashara pia maana kiwanja kimefes kwenye Lami iendayo Kunduchi.

Bei 350M
Maongezi zaidi na kuhusu ofa yako unaweza kunipigia kwa 0756060183

View attachment 1591705View attachment 1591706View attachment 1591707[ATTACH type="full"
Hii ya zamani sana Mkuu sio kidogo. Vp kuhusu mafuriko maeneo hayo hasa kipindi hiki Cha mvua Hali ikoje eneo la tukio?
 
Back
Top Bottom