Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Kiwanja kimepimwa hati ipo na kina ukubwa wa SQM 520.

Bei 6.5 M.

Maongezi kidogo sana yapo.

Mawasiliano 0756060183.

 
Wale watu wetu wa kigamboni karibuni sana viwanja vipo vinapatikana
 
Karibuni wateja wetu, nyumba tumeamua kupunguza bei.

Njoo na ofa yako tujadiriane maana hii si ya kuikosa
 
Mkuu Nina 15 mil cash, nikivuna ndizi wa 12 nitaongezea 10m mkuu,
 
Hii ya zamani sana Mkuu sio kidogo. Vp kuhusu mafuriko maeneo hayo hasa kipindi hiki Cha mvua Hali ikoje eneo la tukio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…