Huyu nahisi anajua milioni 85 ni mavi kwamba kila mtu anayo.Jamani nyie [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani kuna nini tena Mdau tushirikishane huo mshangao?Jamani nyie [emoji3][emoji3][emoji3]
Umesema kweli hapo mpaka nyumba iliposimama kujenga inacheza kwenye 10-18 ukisimamia manunuzi ya vifaa na mahitaji yote kwa umakini kabisa, ila watu kutokujua masuala ya Valuation kama ulivyosema wanapigwa bei kubwa na Madalali.
Tatizo la Dodoma ...watu wanaitengeneza ya kufikurika,Kisasa imekuzwa Kama vile Ni pazuuuri,ilhali Ni pa kawaida Sana...Elfu 85 unanunua viwanja 8 Ihumwa vikubwa na vizuri sana,au 6 Mlimwa C kwa Waziri mkuu ambako Ni kuzuri kuliko Kisasa.Nyie mnao mpinga muuzaji ni hamuijui vizur dodoma .. nyumba ipo kisasa na kisasa kwa dodoma ni kama masaki au mbezi beach ya dsm ni maeneo ambayo wanakaa watu wanao jiweza kidogo.. . Kwa kweri Kisasa ni pazuri sana ... Na viwanja kule ni ghali Sana...... Mimi naona kwa bei hyo kisasa muuzaji yupo sahihi. lakini kama anauza kweri angalau angeanzia 70mil .. kwa sababu hali ya uchumi sio nzuri kwa Sasa.
Work until expensive become cheap.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mnao mpinga muuzaji ni hamuijui vizur dodoma .. nyumba ipo kisasa na kisasa kwa dodoma ni kama masaki au mbezi beach ya dsm ni maeneo ambayo wanakaa watu wanao jiweza kidogo.. . Kwa kweri Kisasa ni pazuri sana ... Na viwanja kule ni ghali Sana...... Mimi naona kwa bei hyo kisasa muuzaji yupo sahihi. lakini kama anauza kweri angalau angeanzia 70mil .. kwa sababu hali ya uchumi sio nzuri kwa Sasa.
Work until expensive become cheap.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niuzie heka moja,tutawasaliana vp?Yeah kweli kabisa maana bagamoyo hapo Nina shamba nauza heka moja 250,000 unaweza kununua heka 10 kwa 2,500,000 ukitoa kwenye 85 unabaki 82.5m hapo kweli unanunua shamba na unajenga nyumba kubwa na chench inabaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu swala sio kujenga nyumba la hasha,Bali gharama ya kiwanja kwa maeneo hayo ni kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haka kadalali njaa
Tatizo la Dodoma ...watu wanaitengeneza ya kufikurika,Kisasa imekuzwa Kama vile Ni pazuuuri,ilhali Ni pa kawaida Sana...Elfu 85 unanunua viwanja 8 Ihumwa vikubwa na vizuri sana,au 6 Mlimwa C kwa Waziri mkuu ambako Ni kuzuri kuliko Kisasa.
Kwa bei iyo kuuza itakuwa ngumu,sababu ya kwanza ni kuwa kama mtu anahela iyo ni bora anunue kiwanja maeneo ya hapohapo kisasa kisha akajenga mwenyewe kwa hela iyo iyo na bado hela ikabakia
Wewe ni mmoja wa watu wanaopaswa kufundishwa masuala ya valuation
Valuation inahusu jengo pamoja na ardhi yale
Kibanda cha vyumba vitatu chanika si sawa na kibanda kama hicho kikiwa kijitonyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami mimi nimeshangaa,hiyo ni nyumba au pagala?85 m haipati kwa pagala hilo.Inabidi watu wafundishwe masuala ya Valuation kujua thaman ya kitu ulichonacho kuepuka kuibuk na kutaja taja mabei ya ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app