Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Mkuu bei ya nyumba haitegemei uwingi wa vyumba.. ila unaweza kuja kuona mjengo wenyewe
Ni kweli kuwa bei ya nyumba haitegemeiidadi ya vyumba lakini kwa hizo picha na ukubwa wa nyumba yenyewe + hali ya watu kifedha hii awamu ya tano + nyumba iko tegeta sijui bunju kwa 3.8 millions??? sijui lakini mm haraka haraka nimeona inacheza kati ya millions 70 na 100, lakini ni maoni yangu tu mkuu!!!!
 
Sawa mkuu maoni yako yapaswa kuheshimiwa.
 
Hivi mnatumia valuation criteria gani kwenye price setting? Hata kama ndio 10% duh!
 
Nyumba ina vyumba 3 vyote ni self
Size plot 1200 SQM
Nyumba ni ya kuhamia kabisa na bado ni mpya.
Bei 250m
Pia kuna nyumba nyingine ndogo ya vyumba 3 na kimoja self
Sorry kwenye picha hatujaionyesha
Maongezi zaidi 0756060183View attachment 1696003
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…