dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #861
Inawezekana kabisa,Muombe Mungu na ongeza bidii ya kutafuta helaMimi KWELI nitakuja kushika million 500? [emoji848][emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kabisa,Muombe Mungu na ongeza bidii ya kutafuta helaMimi KWELI nitakuja kushika million 500? [emoji848][emoji848][emoji848]
Inawezekana kabisa,Muombe Mungu na ongeza bidii ya kutafuta hela
Mkuu bei ya nyumba haitegemei uwingi wa vyumba.. ila unaweza kuja kuona mjengo wenyeweMkuu nyumb ya vyumba vitatu million mia 4?
Hahaaa karibuMchana Nakuja kulipia
Karibu mkuuAise.
Mkuu umeliona jiko lilivyokubwa sijui sebure litakuwaje?nyumba kali sana hiyo.Mkuu nyumb ya vyumba vitatu million mia 4?
Duh mkuu karibu eneo la tukio ndio uone kama hii 60 utamaliza hii nyumbaHio nyumba haizidi milioni 60.
Inamaongezi mkuuBei imesimama sana...
Ni kweli kuwa bei ya nyumba haitegemeiidadi ya vyumba lakini kwa hizo picha na ukubwa wa nyumba yenyewe + hali ya watu kifedha hii awamu ya tano + nyumba iko tegeta sijui bunju kwa 3.8 millions??? sijui lakini mm haraka haraka nimeona inacheza kati ya millions 70 na 100, lakini ni maoni yangu tu mkuu!!!!Mkuu bei ya nyumba haitegemei uwingi wa vyumba.. ila unaweza kuja kuona mjengo wenyewe
Sawa mkuu maoni yako yapaswa kuheshimiwa.Ni kweli kuwa bei ya nyumba haitegemeiidadi ya vyumba lakini kwa hizo picha na ukubwa wa nyumba yenyewe + hali ya watu kifedha hii awamu ya tano + nyumba iko tegeta sijui bunju kwa 3.8 millions??? sijui lakini mm haraka haraka nimeona inacheza kati ya millions 70 na 100, lakini ni maoni yangu tu mkuu!!!!
Mkuu hizi ni bei za wenye nyumba na 10% haihusiki hapo kabisa ila pia nyumba za bei ya chini zipoHivi mnatumia valuation criteria gani kwenye price setting? Hata kama ndio 10% duh!