Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
DuhHiyo nyumbw ukiuza sana 120
kwa nini tupe ufafanuziHiyo nyumbw ukiuza sana 120
Hii 120m ni bei ya kiwanjaHiyo nyumbw ukiuza sana 120
Mkuu kuko vzr kabisa karibu sanaHakujai mafuriko huko kipindi chq mvua?
Mitano tena or not milele tena hiyo nyumba akipata million 100 uje nitafute tupate dinner au lunch. Tajiri hiyo nyumba maeneo ya Mikocheni, mbezi beach, maswali n.k unaweza kupata 150m. Matajiri hawataki huko mbali na wakitaka huko watajijengea nyumba za maana na nyingi ni ghorofa. Mtanzania anayeuza asset miaka hii ninamhurumia mno maana haitauzika na ikiuzika ni kwa bei ya kutupwa.Hiyo nyumbw ukiuza sana 120
Mambo yatakuwa mazuri tu,waswahili tunasema hakuna marefu yasiyokuwa na NchaKwa hali hii ya uchumi uliokufa kwa sababu ya upuuzi wa yule mzee wa Chato, kuweza kuiuza hiyo nyumba kwa zaidi ya milioni 100 kutakuwa muujiza mkubwa kwa mwaka huu.
Watu hawana pesa kabisa. Watu wanatafuta pesa ya kuweza kula na kulala tu, mambo mengine hayawezekani kabisa.
Regardless ya thamani ikoje, ukata uliopo sasa ndio utakaoamua bei ya kuuzwa hiyo nyumba.
Ngoja nitakupa Dodoma zipo za kutosha๐๐ข๐ ๐ง๐๐ญ๐๐๐ฎ๐ญ๐ ๐๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐๐ ๐๐จ๐ซ๐จ ๐๐ฎ ๐๐จ๐๐จ๐ฆ๐. ๐๐๐ฃ๐๐ญ๐ข ๐ข๐ฌ๐ข๐ณ๐ข๐๐ข 30๐ฆ๐ฅ.
Sio ya ghorofa mkuuIna ghorofa ngapi boss
๐๐ข๐ญ๐๐ฌ๐ก๐ฎ๐ค๐ฎ๐ซ๐ฎ ๐ฌ๐๐ง๐Ngoja nitakupa Dodoma zipo za kutosha
Poa Mkuu. Ikifika 100m unishtue ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐คฃ๐คฃDuh aiseeh ila Watu wanakuja kuona ngoja tungoje mteja
Hahaa hapana mkuu haiwezi kufika ukoPoa Mkuu. Ikifika 100m unishtue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Ya Mungu ni mengi Mkuu. Wewe naona unauza za bei kalikali tu. Nilikuambia nitafutie nzuri ya bei ya chini kidogo.Hahaa hapana mkuu haiwezi kufika uko
Location ina matter mzee
Ni kweli ila Ununio unaisikiaje au unaifahamuje mkuu?Location ina matter mzee