Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Location ina matter mzee
Kabisa nimemuambia iliko nyumba ndiyo imeleta shida. Nyumba kweli inaonekana ni nzuri. Halafu bado hakuna hata pavings. Hali ngumu wenye nyumba watafakari. Na madalali waambie ukweli wenye nyumba kuwa mambo ni magumu. Bora reasonable price ili biashara ifanyike haraka na dalali afaidike. Kuna nyumba zinauzwa toka 2019 wateja hakuna na wapangaji nao hakuna.
 
Ni kweli ila Ununio unaisikiaje au unaifahamuje mkuu?
Ni mbali na mjini na miundo mbinu ya barabara za mitaani ni matatizo makubwa. Ununio na Tegeta kununua nyumba ni uende kipindi cha mvua kubwa ndiyo utakimbia mbio ya chita. Ila hiyo yako sijui. Mvua za masika zikianza nitakutafuta nikaione
 
Mkuu kama hutojali mimi nipatie tu ramani ya hiyo nyumba nikajenge mwenyewe sehemu ya kupumzikia uzeeni.
 
Ni mbali na mjini na miundo mbinu ya barabara za mitaani ni matatizo makubwa. Ununio na Tegeta kununua nyumba ni uende kipindi cha mvua kubwa ndiyo utakimbia mbio ya chita. Ila hiyo yako sijui. Mvua za masika zikianza nitakutafuta nikaione
Sawa mkuu ila nadhani unazungumzia Ununio nyingine
 
Ni mbali na mjini na miundo mbinu ya barabara za mitaani ni matatizo makubwa. Ununio na Tegeta kununua nyumba ni uende kipindi cha mvua kubwa ndiyo utakimbia mbio ya chita. Ila hiyo yako sijui. Mvua za masika zikianza nitakutafuta nikaione
Ununio ndo, penyewe hacha tupambane tu
Tutakuja kuchua nyingne mkuu
 
Hii nyumba inauzwa ipo mbweni ,ina vyumba 3 self na pia kuna nyumba ndogo ya wapangaji pamoja na frem mbili za maduka ziko na wapangaji..size plot 1600 SQM bei 270m ..Maongezi yapo

0756060183
 
Machine tumeirudisha sokoni na tumepunguza na bei..nipe ofa yako mdau tukupe chuma hii imekeza kila mahali, safari safari popote inatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…