dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #1,001
Thanks mkuuNiice
Kaka kikubwa ni mtego wako wa kuzikamata, jibu ni inawezekana.Mimi KWELI nitakuja kushika million 500? [emoji848][emoji848][emoji848]
Hahaa mkuu si unajua biashara ni matangazo na hapa pia tunapaswa kujua yanayoendelea Kaliakoo nkApambane tu na hali yake...
Leo hii kariakoo jengo linauzwa mpaka jf wanajua kweli ngoma ngumu mtaani...
Kuna maduka 3 makubwa pia lila moja linapangishwa 900,000/= kwa mweziSo KIla flat ni Milion 300?
Karibu mkuu3.9 B Itapendeza Zaidi
Mkuu kaliakoo ni wapi? Au ulimaanisha Kariakoo?Hahaa mkuu siunajua biashara ni matangazo na hapa pia tunapaswa kujua yanayoendelea Kaliakoo nk
Nashukuru sana mkuu kwa usahihi huu nitauzingatia wakati mwingine....haha ila kumbuka matamshi ya makabila yetu yanaharibu kiswahili ila yote kwa yote kikubwa ni kuelewanaMkuu kaliakoo ni wapi? Au ulimaanisha Kariakoo?
Mkuu unafanya biashara ya zaidi ya 4 billion ila hujui kuandika kariakoo? Nisamehe kama kuna sehemu inaitwa kaliakoo na mimi siijui.
We jamaa nimefuatilia sana matangazo yako, jinsi unavyowajibu watu kiungwana unaonekana bonge la mstaarab. Mungu akuongoze usiwe mpigaji maana nikiokota tu pesa lazima nikutafuteNashkr sana mkuu kwa usahihi huu nitauzingatia wakati mwingine....haha ila kumbuka matamshi ya makabila yetu yanaharibu kiswahili ila yote kwa yote kikubwa ni kuelewana
We jamaa nimefuatilia sana matangazo yako, jinsi unavyowajibu watu kiungwana unaonekana bonge la mstaarab. Mungu akuongoze usiwe mpigaji maana nikiokota tu pesa lazima nikutafute
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Nashkr sana ndg yangu na karibu sana,ofisini yetu iko Bahari beachWe jamaa nimefuatilia sana matangazo yako, jinsi unavyowajibu watu kiungwana unaonekana bonge la mstaarab. Mungu akuongoze usiwe mpigaji maana nikiokota tu pesa lazima nikutafute
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Nashkr sana kusikia ivyo ndg yangu na karibu sana ofisini kwetu Bahari beach..Maeneo mengine tunenda kuchukua kazi na kuzitafutia wateja mkuuKweli huyu mwamba ni mstaarabu sana,hata mimi nimeanza kumfuatilia muda. Kuna kipindi walikuwa na ofisi Arusha ya kuuza viwanja,mimi nikawa Dar ila nilitamani kufika ofisini kwao. Sijui kama bado ipo