Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Karibuni wateja wetu mjengo huu bado tunauuza..tupe ofa yako acha kukaa na mihela ndani ya nyumba badala yake zihamishie kwenye asset kama hizi
 
The building has 15 flats.

Each flat has 3 bedrooms, ( there's one master bedroom with modern toilets and a fixed cupboard in it ) , a sitting room, dining room , 2 modern toilets and a balcony surrounding the whole flat
Bei Tsh 4.5bilion

0756060183.

IMG-20210413-WA0009.jpg
IMG-20210413-WA0006.jpg
IMG-20210413-WA0003.jpg
IMG-20210413-WA0000.jpg
IMG-20210413-WA0005.jpg
 
Mkuu kaliakoo ni wapi? Au ulimaanisha Kariakoo?
Mkuu unafanya biashara ya zaidi ya 4 billion ila hujui kuandika kariakoo? Nisamehe kama kuna sehemu inaitwa kaliakoo na mimi siijui.
Nashukuru sana mkuu kwa usahihi huu nitauzingatia wakati mwingine....haha ila kumbuka matamshi ya makabila yetu yanaharibu kiswahili ila yote kwa yote kikubwa ni kuelewana
 
Nashkr sana mkuu kwa usahihi huu nitauzingatia wakati mwingine....haha ila kumbuka matamshi ya makabila yetu yanaharibu kiswahili ila yote kwa yote kikubwa ni kuelewana
We jamaa nimefuatilia sana matangazo yako, jinsi unavyowajibu watu kiungwana unaonekana bonge la mstaarab. Mungu akuongoze usiwe mpigaji maana nikiokota tu pesa lazima nikutafute
 
We jamaa nimefuatilia sana matangazo yako, jinsi unavyowajibu watu kiungwana unaonekana bonge la mstaarab. Mungu akuongoze usiwe mpigaji maana nikiokota tu pesa lazima nikutafute

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app

Kweli huyu mwamba ni mstaarabu sana,hata mimi nimeanza kumfuatilia muda. Kuna kipindi walikuwa na ofisi Arusha ya kuuza viwanja,mimi nikawa Dar ila nilitamani kufika ofisini kwao. Sijui kama bado ipo
 
Kweli huyu mwamba ni mstaarabu sana,hata mimi nimeanza kumfuatilia muda. Kuna kipindi walikuwa na ofisi Arusha ya kuuza viwanja,mimi nikawa Dar ila nilitamani kufika ofisini kwao. Sijui kama bado ipo
Nashkr sana kusikia ivyo ndg yangu na karibu sana ofisini kwetu Bahari beach..Maeneo mengine tunenda kuchukua kazi na kuzitafutia wateja mkuu
 
Back
Top Bottom