Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Hata sielewi kinaendelea nini hapa.[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Reactions: K11
Mkuu kaliakoo ni wapi? Au ulimaanisha Kariakoo?
Mkuu unafanya biashara ya zaidi ya 4 billion ila hujui kuandika kariakoo? Nisamehe kama kuna sehemu inaitwa kaliakoo na mimi siijui.
Vikapuku kwa mashauzi sasa, ukiwa huna hela nyuzi za hela usiwe una comment madhara yake ndio haya makasiriko tele.
Nashukuru sana mkuu kwa usahihi huu nitauzingatia wakati mwingine....haha ila kumbuka matamshi ya makabila yetu yanaharibu kiswahili ila yote kwa yote kikubwa ni kuelewana
Umemjibu kiungwana sana, hakika wewe ni dalali mbobevu, [emoji1490]
 
Mkuu kaliakoo ni wapi? Au ulimaanisha Kariakoo?
Mkuu unafanya biashara ya zaidi ya 4 billion ila hujui kuandika kariakoo? Nisamehe kama kuna sehemu inaitwa kaliakoo na mimi siijui.
Na wewe usiwe kilaza. Mtoa mada sio mmiliki wa jengo Ila Ni dalali Kama wewe tu.
 
Eneo lipo ubungo mawasiliana,ukubwa 2200 SQM
Ndani kuna nyumba za wapangaji na maduka
Bei Tsh 1.5b
Eneo limefc kituo cha daladala mawasiliano.
Maongezi zaidi 0756060183

 
Wadau kiwanja bado kipo kwa wale wawekezaji wa APARTMENT nk karibu sana eneo hili linafaa sana kwa biashara
 
Chumba sebule jiko choo,

Nyumba mpya apartment zipo 2 maji umeme vyote unajitegemea bei Tsh 250,000/= kwa mwezi
Maongezi zaidi 0756060183

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…