Bei hiyo ya Japan isikuchanganye ukafikiri ni cheap kumiliki gari Japan. Hata mjapani akinunua gari hilo Japan ili alitumie atatakiwa kulipa ushuru nchini mwake kumbuka hilo.Bongo magari bei gali mno. Wakati japani na uarabuni bei cheap sana. Ishu ikifika apa ushulu wake waweza nunua gali lingine kama hilo. Hii nchi imekaa kipumbafu mnoo.
Bei hiyo ya Japan isikuchanganye ukafikiri ni cheap kumiliki gari Japan. Hata mjapani akinunua gari hilo Japan ili alitumie atatakiwa kulipa ushuru nchini mwake kumbuka hilo.
HaufananiHiwezi linganisha japan na nchi la kipumbafu. Unataka niambia ushuru wao unafanana na huku uswahilini?
Unafikiria ukishailipa hio 18M ndio unaenda kuichukua TPA pale bila kulipa kodi mzee! Hio bei aliotaja huyo mwamba wala haina tatizo kabisa maana gari hii ukiongeza na ushuru itagonga 30M au zaidi tena hio ni kwa ambayo utaomba ushushiwe au upewe bei ya 15M toka Japan!Crown ya mwaka 2010 ni fifth generation. Inayoanzia 2009-2013. Kuna sixth generation inaanzia 2013 na kuendelea. Hiyo ndiyo unaweza kusema new model.
Hiyo gari haina hiyo thamani hata kidogo, tena ukizingatia imeishatumika Bongo.
Hapa madalali ndo mnacheleweshaga biashara aisee.
Angalia hiyo Loyal Saloon hapo chini na ni ya 2012.
View attachment 1878615
Haufanani
Yeah ni kweli hii gari ukienda leo showroom unauziwa 30m pungufu kidogo 28m
Umeona hio crown hapo ya 2010 yani bei ni 15M na kuendelea ila ushuru pia ni 15M that is about 100% Tax charged on price of the Car!Yani hili linchi linakera mkuu. Unaagiza gari nje likifika hapa ushuru wake unaweza agiza la ziada. Swala hili limekaliwa kimiya kila rais anaeingia madalakani halizungumzii. Kuiona paradise ngumu mno, ukandamizaji na uzulumati umekithiri mno hili linchi.
Na hao wanaouza hio bei wameomba discount sababu wanafanya biashara na hayo makampuni ya kijapani! Kwa mtu binafsi hio bei inazidi you can hardly buy it kwa hizo bei!Siunaona sasa,,
System za kodi ndio za kipuuzi ila vitu vingi vingekuwa cheap sana
Tuwaombee njaa tuKweli mkuu,,, acha waendelee kukandamiza lakini Mungu anawaona. End of ze day watazikwa na sanda ya bei chee
Hapo umeshaweka kodi tayar? Ukitaka kujua bei yake hebu tumia ile calculator ya tra tujionee bei halisiCrown ya mwaka 2010 ni fifth generation. Inayoanzia 2009-2013. Kuna sixth generation inaanzia 2013 na kuendelea. Hiyo ndiyo unaweza kusema new model.
Hiyo gari haina hiyo thamani hata kidogo, tena ukizingatia imeishatumika Bongo.
Hapa madalali ndo mnacheleweshaga biashara aisee.
Angalia hiyo Loyal Saloon hapo chini na ni ya 2012.
View attachment 1878615
Na hao wanaouza hio bei wameomba discount sababu wanafanya biashara na hayo makampuni ya kijapani! Kwa mtu binafsi hio bei inazidi you can hardly buy it kwa hizo bei!
TRA wanatoza kodi za hovyo mno.Yeah unanunua gari 6M kodi ni 7.5M. Ndio tulipofikia sasa sijui hizi caluculations wanazifanya kwa mtindo gani
Sijaweka Kodi lakini kumbuka hiyo bei bado hatujabargain na Be Forward.Hapo umeshaweka kodi tayar? Ukitaka kujua bei yake hebu tumia ile calculator ya tra tujionee bei halisi
Hata kama, Crown ya mkononi mwa mtu haiuziki kwa bei hiyo bro.Mkuu ungezijua bei zake usingeongea haya ila kwakuwa hujui kuhusu magari siwezi kumaind.
Kodi yake ni Tsh Mil 14. Kumbuka hiyo ni gari ya mwaka 2012. Haijapata mateso yetu ya barabara za Udzungwa. Haijapigwa nyundo na fundi Michael chini ya mwombe.Unafikiria ukishailipa hio 18M ndio unaenda kuichukua TPA pale bila kulipa kodi mzee! Hio bei aliotaja huyo mwamba wala haina tatizo kabisa maana gari hii ukiongeza na ushuru itagonga 30M au zaidi tena hio ni kwa ambayo utaomba ushushiwe au upewe bei ya 15M toka Japan!
Kodi zetu ni 80%-110% ya CIF value
Ushuru wa hio crown GRS202 ya mwaka 2010!
View attachment 1878631
Ukijumlisha hii 15M+18M ya kununulia Japan pengine tunaweza tukawa tumeelewana!
Ni sahihi mkuu ila kwa gari yenye namba DV (likely 3 months ago registration) mi naona bei iko fair tu sababu gari bado inakuwa iko bomba!Kodi yake ni Tsh Mil 14. Kumbuka hiyo ni gari ya mwaka 2012. Haijapata mateso yetu ya barabara za Udzungwa. Haijapigwa nyundo na fundi Michael chini ya mwombe.
Mkuu unadhani sina uelewa kiasi hicho basi. Kwamba sijui kama kuna kodi?Nimempa mfano tu.
Chukua kiwango cha uchakavu ilichofikia hiyo gari inayouzwa hapa ili angalau uithaminishe kwa thamani yake halisi.
Kwa upande mwingine najaribu kukueleza, Je! Kama hiyo gari ikifika kwenye mikono ya dalali wetu wa leo unadhani ataiuzaje π€π€
Ataiuza kwa bei ya Land Cruiser πππ
Ataiuza Milioni 50+ππππ
View attachment 1878713
Hii gari bei iko sawa mkuu!Crown ya mwaka 2010 ni fifth generation. Inayoanzia 2009-2013. Kuna sixth generation inaanzia 2013 na kuendelea. Hiyo ndiyo unaweza kusema new model.
Hiyo gari haina hiyo thamani hata kidogo, tena ukizingatia imeishatumika Bongo.
Hapa madalali ndo mnacheleweshaga biashara aisee.
Angalia hiyo Loyal Saloon hapo chini na ni ya 2012.
View attachment 1878615
DV.. ina zaidi ya miezi mitatu mkuu. sasa hivi tuko na DW.Ni sahihi mkuu ila kwa gari yenye namba DV (likely 3 months ago registration) mi naona bei iko fair tu sababu gari bado inakuwa iko bomba!
Yani ikiwa gari umenunua na usajili wa almost 30M wewe binafsi gari uliotembelea miezi mitatu utaiuza million 10M?
Twende taratibu tu maana huyu jamaa ame claim 22M which doesnβt even justify matumizi ya miezi mitatu hata huko yatokako viwandani gari ya miezi mitatu haiwezi shuka thamani kwa kiwango hicho! Kwangu mie naona bei ni very fair.
Sawa ila haifiki sita? Haina miezi sita hio gari toka isajiliwe chief!DV.. ina zaidi ya miezi mitatu mkuu. sasa hivi tuko na DW.
Hiyo gari imekuwa overrated kwa angalau si chini ya 5M.