Kodi yake ni Tsh Mil 14. Kumbuka hiyo ni gari ya mwaka 2012. Haijapata mateso yetu ya barabara za Udzungwa. Haijapigwa nyundo na fundi Michael chini ya mwombe.
Mkuu unadhani sina uelewa kiasi hicho basi. Kwamba sijui kama kuna kodi?Nimempa mfano tu.
Chukua kiwango cha uchakavu ilichofikia hiyo gari inayouzwa hapa ili angalau uithaminishe kwa thamani yake halisi.
Kwa upande mwingine najaribu kukueleza, Je! Kama hiyo gari ikifika kwenye mikono ya dalali wetu wa leo unadhani ataiuzaje 🤔🤔
Ataiuza kwa bei ya Land Cruiser 😂😂😂
Ataiuza Milioni 50+😂😂😂😂
View attachment 1878713