Kilazar huyo bwegeWatu bhna Crown Imendikwa nj ya 2010 yeye anakuletea picha ya Crown 2004 af anafananisha price
Hivi sisi wabongo huwezi hata kuuliza utofauti kama una mashaka kusoma huwezi kufanya research huwezi kazi kubwabwaja tu
Hapa ndo nguvu ya soko inapodhihirika.Hii gari bei iko sawa mkuu!
Sema tu ni kwamba ni gari ya kibishoo na wengi hawaziwezi hizo gari kwa sababu zinakula mafuta na maintainance cost ziko juu, ila kwa namba ilioko nayo ya DV ingekuwa ni ka IST hapo mwenye nako angengβangania hata 12M watu wangekanunua fasta bila kelele!
Hio gari watu mnaishusha sababu ni chuma kizito π ila IST zinauzwa hata za miaka mi nne nyuma ila kwa bei za 9.5M-10M na watu hawazilazii damu iwe DQ,DR,DS,DT na unakuta ni gari ambazo watu walinunua 11.5M zikiwa piru!!!
Sasa imagine kama ishu ni uchakavu gari imetembea bongo miaka 4 ila imeshuka thamani kwa 1.5M tu! Itakuwa hio crown ya miezi kadhaa ndio ishuke thamani kwa million 7, hebu tuwe na huruma jamani!
Hapo sasa tutaenda sawa, kwamba Crown hai hold value yake vizuri katika soko letu sio gari ambayo unaweza re-sale kwa thamani isipokuwa kwa specific people tu!Hapa ndo nguvu ya soko inapodhihirika.
Yaani IST ina nguvu sana sokoni hapa kwetu. Kwanza inanunuliwa na kila mtu. Inanunuliwa na mama, bibi, mtoto, mrembo nk
Crown inaushawishi mdogo sokoni kwa makundi mbalimbali ya walaji.
Njoo kwenye Brevis ππππ. Ujue kile ni chuma hasa Lkn watu wanakikimbia na bei yake sokoni unalazimika kushuka maradufu. Ila mimi lazima ninunue hiyo Brevis. Service na Uendeshaji una determine matumizi ya mafuta kwa kiasi kikubwa.
Ila cha ajabu nina rafiki yangu anaagizaga hizi hizi Crown na kuziuza kwa bei nzuri tu ya faida!Hapa ndo nguvu ya soko inapodhihirika.
Yaani IST ina nguvu sana sokoni hapa kwetu. Kwanza inanunuliwa na kila mtu. Inanunuliwa na mama, bibi, mtoto, mrembo nk
Crown inaushawishi mdogo sokoni kwa makundi mbalimbali ya walaji.
Njoo kwenye Brevis ππππ. Ujue kile ni chuma hasa Lkn watu wanakikimbia na bei yake sokoni unalazimika kushuka maradufu. Ila mimi lazima ninunue hiyo Brevis. Service na Uendeshaji una determine matumizi ya mafuta kwa kiasi kikubwa.
Kweli kabisa mkuu Wengi hawajui kutofautisha magari wanaona yote sawa.Kilazar huyo bwege
We agiza ikifika watakadiria pale pale tuWadau naona mnafahamu sana mifumo ya uagizwaji wa magari hapa tz, nimekuwa nikitamani mno kumiliki gari za umeme, EV car mfano Nissan Leaf na wengineo wa bei za kawaida na range za wastani, sasa changamoto ni TRA, nimetuma e-mails hawajibu kunipa makadilio ya gari ambazo hazipo kwenye mfumo wao sababu kuu hazitumii mafuta wala hazina engine, sasa wanatumia formula gani kupigia mahesabu? Sije nikaagiza then nikajuta
Hahaa atajikuta inapigwa mnada hapo hapo badariniWe agiza ikifika watakadiria pale pale tu
π π π π π kwann mkuuHahaa atajikuta inapigwa mnada hapo hapo badarini
BREVIS πππHapo sasa tutaenda sawa, kwamba Crown hai hold value yake vizuri katika soko letu sio gari ambayo unaweza re-sale kwa thamani isipokuwa kwa specific people tu!
Ila justification ya kuwa hio Crown inauzwa ghali mi sijaiona gari iliotumiwa miezi 3 haiwezi poteza thamani kwa more than 8M bro! Ni kwamba its marketed to the wrong audience!
Brevis ukiinunua hesabia tu umeshatupa 6M ulioilipia kodi bandarini π π π ! Maana ukiingiza sokoni hata week tu baada ya manunuzi watu wanakwambia watakupa 8M π π π
Hebu niagizie mkuu maana nina 22M cash staki habari za kusema imekwamaπBREVIS πππ
Mkuu, hiyo DV.. Hatujui ni DV gani, lkn DV kama DV ina zaidi ya miezi mitatu mtaani.
Kingine Kumbuka hiyo crown hapo juu kama sikosei ni GRS 200. kwa gari ya 2011 kodi yake kwa wakuda wetu
Mil. 11+
Na sokoni zipo mpaka za $4500 mpaka Dar, before bargaining. Na kwenye bargaining ukimkodolea macho vizuri Mjapani unapata punguzo hadi $500
Kwa hiyo 22M nakuwa na uhakika wa hadi pesa ya wale TBS, mafuta nk.
Mkuu kwanini asiende Makao makuu kuuliza jambo hilo??We agiza ikifika watakadiria pale pale tu
Watu hatujui hakuna gari zenye performance kama gari za umeme, na ni cheap ku run, gari nyingi zina range ya kuanzia km 150 per charge, wenzetu kenya hapo wameanza zitumia ila bongo kimya zaidi ya pikipiki na baiskeli za kuchaji, tuwaoga kwenye teknolojiaWe agiza ikifika watakadiria pale pale tu
Mi naona aende tu sababu kwa hali hii ya petroli litre kuuzwa 2500 kuna haja ya kuhamia fully electric now! Ukipata gari yenye range ya 200KM kwa matumizi ya mjini tu ni very efficientMkuu kwanini asiende Makao makuu kuuliza jambo hilo??
Nilikuwa kwa madiba niliziona aiseeWatu hatujui hakuna gari zenye performance kama gari za umeme, na ni cheap ku run, gari nyingi zina range ya kuanzia km 150 per charge, wenzetu kenya hapo wameanza zitumia ila bongo kimya zaidi ya pikipiki na baiskeli za kuchaji, tuwaoga kwenye teknolojia
Nitakwenda aiseeMkuu kwanini asiende Makao makuu kuuliza jambo hilo??
Mkuu hiyo gari 22m huwezi kuagiza na kuipata na uzuri kila kitu kiko kwenye mtandao unaweza kuchk bei zake na jumlisha na kodi nkBREVIS [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, hiyo DV.. Hatujui ni DV gani, lkn DV kama DV ina zaidi ya miezi mitatu mtaani.
Kingine Kumbuka hiyo crown hapo juu kama sikosei ni GRS 200. kwa gari ya 2011 kodi yake kwa wakuda wetu Mil. 11+
Na sokoni zipo mpaka za $4500 mpaka Dar, before bargaining. Na kwenye bargaining ukimkodolea macho vizuri Mjapani unapata punguzo hadi $500
Kwa hiyo 22M nakuwa na uhakika wa hadi pesa ya wale TBS, mafuta nk.