Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Watu bhna Crown Imendikwa nj ya 2010 yeye anakuletea picha ya Crown 2004 af anafananisha price

Hivi sisi wabongo huwezi hata kuuliza utofauti kama una mashaka kusoma huwezi kufanya research huwezi kazi kubwabwaja tu
 
Kilazar huyo bwege
 
Hii gari bei iko sawa mkuu!
Sema tu ni kwamba ni gari ya kibishoo na wengi hawaziwezi hizo gari kwa sababu zinakula mafuta na maintainance cost ziko juu, ila kwa namba ilioko nayo ya DV ingekuwa ni ka IST hapo mwenye nako angeng’angania hata 12M watu wangekanunua fasta bila kelele!

Hio gari watu mnaishusha sababu ni chuma kizito 😅 ila IST zinauzwa hata za miaka mi nne nyuma ila kwa bei za 9.5M-10M na watu hawazilazii damu iwe DQ,DR,DS,DT na unakuta ni gari ambazo watu walinunua 11.5M zikiwa piru!!!

Sasa imagine kama ishu ni uchakavu gari imetembea bongo miaka 4 ila imeshuka thamani kwa 1.5M tu! Itakuwa hio crown ya miezi kadhaa ndio ishuke thamani kwa million 7, hebu tuwe na huruma jamani!
Hapa ndo nguvu ya soko inapodhihirika.

Yaani IST ina nguvu sana sokoni hapa kwetu. Kwanza inanunuliwa na kila mtu. Inanunuliwa na mama, bibi, mtoto, mrembo nk

Crown inaushawishi mdogo sokoni kwa makundi mbalimbali ya walaji.

Njoo kwenye Brevis 😂😂😂😂. Ujue kile ni chuma hasa Lkn watu wanakikimbia na bei yake sokoni unalazimika kushuka maradufu. Ila mimi lazima ninunue hiyo Brevis. Service na Uendeshaji una determine matumizi ya mafuta kwa kiasi kikubwa.
 
Hapo sasa tutaenda sawa, kwamba Crown hai hold value yake vizuri katika soko letu sio gari ambayo unaweza re-sale kwa thamani isipokuwa kwa specific people tu!

Ila justification ya kuwa hio Crown inauzwa ghali mi sijaiona gari iliotumiwa miezi 3 haiwezi poteza thamani kwa more than 8M bro! Ni kwamba its marketed to the wrong audience!

Brevis ukiinunua hesabia tu umeshatupa 6M ulioilipia kodi bandarini 😅😅😅! Maana ukiingiza sokoni hata week tu baada ya manunuzi watu wanakwambia watakupa 8M 😅😅😅
 
Ila cha ajabu nina rafiki yangu anaagizaga hizi hizi Crown na kuziuza kwa bei nzuri tu ya faida!

Brevis pia anazipenda sana na anaziuzaga kwa bei ya faida ila gari yake ukiwa mtu wa kujistukia unaweza usiipande maana zinakuwaga safi 24/7 yani! Gari zinakuwa mpya yani kama namba labda ni DWX yani anatembelea mwezi anaisukuma!
 
Wadau naona mnafahamu sana mifumo ya uagizwaji wa magari hapa tz, nimekuwa nikitamani mno kumiliki gari za umeme, EV car mfano Nissan Leaf na wengineo wa bei za kawaida na range za wastani, sasa changamoto ni TRA, nimetuma e-mails hawajibu kunipa makadilio ya gari ambazo hazipo kwenye mfumo wao sababu kuu hazitumii mafuta wala hazina engine, sasa wanatumia formula gani kupigia mahesabu? Sije nikaagiza then nikajuta
 
We agiza ikifika watakadiria pale pale tu
 
Hapo sasa tutaenda sawa, kwamba Crown hai hold value yake vizuri katika soko letu sio gari ambayo unaweza re-sale kwa thamani isipokuwa kwa specific people tu!

Ila justification ya kuwa hio Crown inauzwa ghali mi sijaiona gari iliotumiwa miezi 3 haiwezi poteza thamani kwa more than 8M bro! Ni kwamba its marketed to the wrong audience!

Brevis ukiinunua hesabia tu umeshatupa 6M ulioilipia kodi bandarini 😅😅😅! Maana ukiingiza sokoni hata week tu baada ya manunuzi watu wanakwambia watakupa 8M 😅😅😅
BREVIS 😂😂😂

Mkuu, hiyo DV.. Hatujui ni DV gani, lkn DV kama DV ina zaidi ya miezi mitatu mtaani.

Kingine Kumbuka hiyo crown hapo juu kama sikosei ni GRS 200. kwa gari ya 2011 kodi yake kwa wakuda wetu Mil. 11+

Na sokoni zipo mpaka za $4500 mpaka Dar, before bargaining. Na kwenye bargaining ukimkodolea macho vizuri Mjapani unapata punguzo hadi $500

Kwa hiyo 22M nakuwa na uhakika wa hadi pesa ya wale TBS, mafuta nk.
 
Kingine Kumbuka hiyo crown hapo juu kama sikosei ni GRS 200. kwa gari ya 2011 kodi yake kwa wakuda wetu
Mil. 11+

Na sokoni zipo mpaka za $4500 mpaka Dar, before bargaining. Na kwenye bargaining ukimkodolea macho vizuri Mjapani unapata punguzo hadi $500

Kwa hiyo 22M nakuwa na uhakika wa hadi pesa ya wale TBS, mafuta nk.
Hebu niagizie mkuu maana nina 22M cash staki habari za kusema imekwama😅
 
We agiza ikifika watakadiria pale pale tu
Watu hatujui hakuna gari zenye performance kama gari za umeme, na ni cheap ku run, gari nyingi zina range ya kuanzia km 150 per charge, wenzetu kenya hapo wameanza zitumia ila bongo kimya zaidi ya pikipiki na baiskeli za kuchaji, tuwaoga kwenye teknolojia
 
Mkuu kwanini asiende Makao makuu kuuliza jambo hilo??
Mi naona aende tu sababu kwa hali hii ya petroli litre kuuzwa 2500 kuna haja ya kuhamia fully electric now! Ukipata gari yenye range ya 200KM kwa matumizi ya mjini tu ni very efficient
 
Watu hatujui hakuna gari zenye performance kama gari za umeme, na ni cheap ku run, gari nyingi zina range ya kuanzia km 150 per charge, wenzetu kenya hapo wameanza zitumia ila bongo kimya zaidi ya pikipiki na baiskeli za kuchaji, tuwaoga kwenye teknolojia
Nilikuwa kwa madiba niliziona aisee
 
Mkuu kwanini asiende Makao makuu kuuliza jambo hilo??
Nitakwenda aisee
Muda huu nilikuwa nacheki Renault Samsung
TWIZY haka micro car kanakwenda mpka 110km on single charge, max speed ni 110kph unachaji kwa masaa matatu tu kwenye wall socket ya volt 220, kibongo bongo kitafaa sana View attachment 1879060View attachment 1879062
BK028148_6a19b3.jpg
View attachment 1879061
 
BREVIS [emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu, hiyo DV.. Hatujui ni DV gani, lkn DV kama DV ina zaidi ya miezi mitatu mtaani.

Kingine Kumbuka hiyo crown hapo juu kama sikosei ni GRS 200. kwa gari ya 2011 kodi yake kwa wakuda wetu Mil. 11+

Na sokoni zipo mpaka za $4500 mpaka Dar, before bargaining. Na kwenye bargaining ukimkodolea macho vizuri Mjapani unapata punguzo hadi $500

Kwa hiyo 22M nakuwa na uhakika wa hadi pesa ya wale TBS, mafuta nk.
Mkuu hiyo gari 22m huwezi kuagiza na kuipata na uzuri kila kitu kiko kwenye mtandao unaweza kuchk bei zake na jumlisha na kodi nk
 
Back
Top Bottom