Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Sina hela ila hiyo hela ni extremely high kwa hiyo nyumba
 
Kwa sasa hata magari zenye plate namba za Mawaziri hazipo kiviiiile
 
Nyumba/ apartment nzr ya kisasa Dodoma inauzwa
Ipo kisasa ziko 3 kwenye compound
Kila moja ina vyumba 3 self
Size plot 1200 SQM na imefc lami
Bei Tsh 350m
Maongezi zaidi 0756060183

 
Una wazimu nini? Hiyo sasa ni picha ya apartment? Hapo mwizi akitupa jiwe, tayari yuko chumbani!
 

Kabla ya kufanya uwekezaji mkubwa:

  • Usiwe ushauri wa watu, uwe wakwako.
  • Usifikiri return ni kesho, it takes time.
  • Usiunge unge, kama huwezi ngoja kwanza
  • Usichukue mkopo kwa biashara mpya!
 
Mil 350, ukimaanisha kila nyumba ni mil 115
Hapana aisee, hakuna nyumba ya mil 100 hapo.
 
Nyumba imefes beach inauzwa Bahari beach.
Nyumba ina vyumba 3 self..na pia ina nyumba ndogo vyumba 2 na sebule kwa ajili ya wafanyakazi nk
Size plot 2100 SQm
Bei 300,000$
Maongezi zaidi 0756060183

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…