Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12]kianzio kushusha bei RUKHSA. Usishangae ikauzwa kati ya $350K na $400K kama mnunuzi anajua kubargain vizuri.
Kweli kabisa mkuu, biashara ni maelewano
 
Nyumba nzuri sana- ila hiyo bei kwa Kipindi hiki mtihani- hayo yalikuwa ma-bei ya Kipindi kile Cha shamba la bibi.
 
Apartment inapangishwa Kariakooo
----‐-------------------------------------------------------
Na vyumba 3 self na ni four ya 4 na jengo lina lift.
Bei Tsh 650,000 kwa mwezi.
Inajitegemea maji na umeme.

Karibuni wadau, wajanja huishi katikati ya mji kukwepa foleni na matumizi makubwa ya petrol na ukizingatia lita ya petrol inaongezeka bei kila kukicha.

Mawasiliano zaidi 0756060183View attachment 1893483
IMG-20210815-WA0014.jpg
IMG-20210815-WA0012.jpg
IMG-20210815-WA0013.jpg
IMG-20210815-WA0011.jpg
 
Back
Top Bottom