Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa mkuu usiogope vipo vya bei ya chini mpaka vya 4mTuwahi viwanja mikoani. Dar tuwaachie wenyewe aisee.
Way too expensive, labda kwasababu ya area.Nyumba imetulia sana,sema bei ndio noma Tsh 1.25B sio mchezo.
Hahaa poa sana ndg karibu tuunganishe nguvu tupate helaWacha nimshtue jamaa yangu wa FOREX tuchukue gheto hilo
$600K????
Damn!
Kwakweli, Dar watabaki WachinaTuwahi viwanja mikoani. Dar tuwaachie wenyewe aisee.
Way too expensive, labda kwasababu ya area.
Mnunulie Miss Natafuta umkabidhi ndotoni, atafurahi sanaOverpriced……looking from a distance.
Kaka hao wakwapuaji wa kodi zetu hii kwao ni petty money.Still it’s too expensive I doubt if they will get any buyer at that price.
Kaka hao wakwapuaji wa kodi zetu hii kwao ni petty money.
Mkuu hii dola laki sita.Dola laki sita au shilingi milioni miasita?sijavaa miwani.
Nyumba inauzwa ipo salasala kinzudi ina vyumba 3 kimoja ni self. Size plot 500 SQM bei 25mKwakweli, Dar watabaki Wachina
Kweli kabisa mkuu, biashara ni maelewano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12]kianzio kushusha bei RUKHSA. Usishangae ikauzwa kati ya $350K na $400K kama mnunuzi anajua kubargain vizuri.
Shukran mkuuNyumba inauzwa ipo salasala kinzudi ina vyumba 3 kimoja ni self. Size plot 500 SQM bei 25m
Ukihitaji picha na maelezo zaidi nambie mkuu
Yaani mtu anatoa $560,000 unasema ya ramani. Au hujui maana ya k mzee kwenye hesabu. Maana yake hapo kilichopungua ni $4,000.Hela y Raman hii