dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #1,341
Usijali mkuu, Mungu mwema kesho utapataSina hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali mkuu, Mungu mwema kesho utapataSina hela
Nitakupigia nomechuka #Lete hela mkuu
Poa sana mkuu na karibu sanaNitakupigia nomechuka #
Yaani picha za nje tu zimekushawishi kutoa 140M. dovillenproperty itabidi unipige msasa kwenye marketingNitakupigia nomechuka #
Nitaenda kuifanyia survey pesa hijatoka bado wala haitoki kirahisiYaani picha za nje tu zimekushawishi kutoa 140M. dovillenproperty itabidi unipige msasa kwenye marketing
[emoji23][emoji23] kitu kizuri kinaonekana mkuuYaani picha za nje tu zimekushawishi kutoa 140M. dovillenproperty itabidi unipige msasa kwenye marketing
Mkuu ukifika eneo la tukio utajisemea mwenyewe aiseeh hawa jamaa nimewaokota kwl yaaniNitaenda kuifanyia survey pesa hijatoka bado wala haitoki kirahisi
Karibu sana ndg yangu na bei tutafanya mpango ipungueDaaaaa.., Osie hii nhatai Mgosi..!!!
Sana yaani mkuu.kwakweli tutafute hela aisehdaaaah, kuna watu wanaishi kmmmmmk
Poa mkuuSina hela
Tegeta imegawanyika mkuu kuna yenye bei kubwa na ya bei ndogoHivi ya Ardhi ya Tegeta imefikia ghali hivyo??
Karibu sana mkuu kama kitakusubriIkifika masika ntakuja kuangalia na kulipia
10m tunapata maeneo ya tegeta chasimba kama unaelekea kiwanda cha wazoBei ndogo ni Tegeta ipi? Nina kama 10.M naeza pata sehemu ya kujibanza?