Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Nyumba inauzwa ipo kibada mwembe mtengu.
Nyumba ina vyumba 3 self ukubwa wa plot 1000 sqm

Bei Tsh 250m

Maongezi zaidi 0756060183


 
Hiki kiwanja kipo Tegeta nyuma ya tanesco
Kina ukubwa wa 900 SQM na bei yake 80m
Panafaa kujenga, family house,apartment,ukumbi nk

Maongezi zaidi 0756060183
 
Bei ndogo ni Tegeta ipi? Nina kama 10.M naeza pata sehemu ya kujibanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…