Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Residential Plot for sale
-Location:Kigamboni-Kibada,Block 16 -Near Kibada Catholic Church
-Area:601 SQM
-Clean Title Deed
Price 22M
Maongezi zaidi 0756060183

Hichi kiwanja nimekiona Linkedin kinauzwa 18m...humu ndani kimepanda mpaka 22m. 4m on top of it just kwakua JF kuna mpunga...anyway GoodLuck boss
 
Hichi kiwanja nimekiona Linkedin kinauzwa 18m...humu ndani kimepanda mpaka 22m. 4m on top of it just kwakua JF kuna mpunga...anyway GoodLuck boss
Mkuu bei zina maongezi usiogope we njoo uone kiwanja thn ukutane na mwenyewe mtayajenga
 
Hyo nne milion itakuwa ya dalali lazima.
Na aliekipost Linkedin nae ni dalalali vile vile...kwa calculation ya haraka haraka hiki kiwanja kitakua 12-15m...madalali wanaweka cha juu juu ya daladali aliewapa mchongo, and the chain goes up.
 
Mkuu bei zina maongezi usiogope we njoo uone kiwanja thn ukutane na mwenyewe mtayajenga
Sasa Mkuu si bora niende kwa dalali alianzia 18m, ili tuanze kushushana kuanzia hapo..Sasa wewe umeanzia 22m tuongee hadi tuje tufike 18m, then nikushushe chini ya hapo, it wont be fair.
 
Sasa Mkuu si bora niende kwa dalali alianzia 18m, ili tuanze kushushana kuanzia hapo..Sasa wewe umeanzia 22m tuongee hadi tuje tufike 18m, then nikushushe chini ya hapo, it wont be fair.
Hamnashida mkuu..uchaguzi ni wako ila waswahili tunasema ya rahisi ni ghari na ya ghari ni rahisi
 
Nyumba ya ghorofa inauzwa Bahari beach
_________________________________________
Nyumba ina vyumba 4 na vyote ni self..pia kuna nyumba ndogo ya wafanya kazi.size plot 2400 SQM
Bei Tsh 600m
Maongezi na ufafanuzi zaidi 0756060183

Nyumba nzuri ila picha za ndani,pembeni na nyuma ya nyumba hakuna...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…