Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Mi nishajua kwamba mwenye kutaka kuelewa ameshaelewa... na ndio maana wengi wanamuuliza sasa anacheka nini, hakuna cha maana anachojibu nami nikaamua kuachana nae!!!
Mzee bado uko na mimi tu 😂😂😂😂😂😂😂
Mungu kwa nini katupa huu umasikini jamani. Jumba linatafta mnunuzi maskini tumebaki kulumbana tu 😂😂😂😂😂😂
 
Nyumba ina vyumba 6 na kati ya hivyo 3 ni self nk

Eneo la kiwanja ni 4,000 SQM

Ni nyumba ya pili kutoka lami.

Bei Tsh 850m bei hii ina maongezi na zaidi pia tunasikiliza ofa ya mteja.

Nyumba ipo Dsm kunduchi ,Bahari beach na baaada ya hapo Ununio ni mwendo wa km 15 kutoka mwenyewe.

Maongezi zaidi 0756060183

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona kwenye kichwa cha habari umesema UNUNIO afu ndani ya maelezo yako umetamka kunduchi,bahari beach alafu km 15 mpaka ununio.
Shame on you dalali uchwara.

Asante sana mkuu kwa maoni yako.ila hayo maelezo yako kwenye comment ya mdau niliyekuwa namuaelekeza namna ya kufika Ununio nyumba ilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwambie mwenye Mali kuna 15m iko mfuko wa shati hapa.
 
Mzee bado uko na mimi tu 😂😂😂😂😂😂😂
Mungu kwa nini katupa huu umasikini jamani. Jumba linatafta mnunuzi maskini tumebaki kulumbana tu 😂😂😂😂😂😂
Haa haa. Wewe jamaa utakuwa unajua kusoma sana saikolojia ya maskini wa JF wavyochangia kwenye nyuzi za bidhaa za bei kubwa. Salute!
 
dottoz kwani una vita na huyu dalali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ndo wale masikini wa humu wanaoongelewa. Mi nadhani hata kama tangazo lina mapungufu ni swala la kuomba ufafanuzi aidha hapa jukwaani au una mfata muhusika pm. Sasa mtu anapo tukana si ndo ule umaskini baadhi ya members wamemtahadharisha Muheshimiwa dalali mwanzoni kabisa mwa michango
 
Hakika mkuu maana hilo suala lilikuwa jepesi sana kulimaliza kuliko kutukana kwenye uzi wa tangazo muhimu kama hili maana hii ni biashara huyu dottoz kanikera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haa haa. Wewe jamaa utakuwa unajua kusoma sana saikolojia ya maskini wa JF wavyochangia kwenye nyuzi za bidhaa za bei kubwa. Salute!
Naona kule umetoka nduki umekimbilia huku... Haya Tajiri wa JF nenda kajibu maswali ambayo nimekuuliza kwenye ile mada yetu!!!
 
Nimetupa jiwe gizani nasikia mtu anaangua kilio. Nitakusaidiaje ndugu yangu?
 
Nadhani ndo wale masikini wa humu wanaoongelewa. Mi nadhani hata kama tangazo lina mapungufu ni swala la kuomba ufafanuzi aidha hapa jukwaani au una mfata muhusika pm. Sasa mtu anapo tukana si ndo ule umaskini baadhi ya members wamemtahadharisha Muheshimiwa dalali mwanzoni kabisa mwa michango
Ndio ivyo mkuu watu tunatofautiana sana uelewa, sema jambo la maana ni kuvumiliana tu hakuna namna nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom