Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Ipo barabara ya waziri mkuu ukitokea martin luther school... Ni ya pili kutoka lami... Ina vyumba 4 masta 2, vyumba 2 kawaida,sebule daining,jiko na stoo,pablic toilet,ina fence.. Docomment hati
Bei Tsh 83m
Mawasiliano zaidi 0756060183

 
Mbeya sihami aisee hiyo house huku inacheza kwa 50m-60m!

Kwa Dom hiyo ni reasonable price kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…