dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #1,421
Wadau nimepunguza bei kidogo, naomba ofa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa hauko tena Ununio?Wadau nimepunguza bei kidogo, naomba ofa
Hahaa nimeenea Nchi nzima hii mkuu.ila ununio ndio kambi yenyeweWe jamaa hauko tena Ununio?
We jamaa hauko tena Ununio?Wadau nimepunguza bei kidogo, naomba ofa
Oh kumbe kikazi zaidi? Nimekusoma mkuuHahaa nimeenea Nchi nzima hii mkuu.ila ununio ndio kambi yenyewe
Ndio mkuu tunapambania watoto wapate ugaliWe jamaa hauko tena Ununio?
Oh kumbe kikazi zaidi? Nimekusoma mkuu
Safi kabisa. Kazi iendeleeNdio mkuu tunapambania watoto wapate ugali
Pamoja sana mkuu. Shukrani sanaSafi kabisa. Kazi iendelee
Mkuu karibu sana nikuunganishe na mwenyeweChukua 80
Milioni 300 unaijua au unaisikiaBei muhafaka kabisa,
Kitu kama hiyo,dar ni milioni 300
Kubwa SanaWadau na hii mtasema bei kubwa?
Nikikupa hii hela ununue kiwanja na ujenge nyumba kama hii maeneo haya dodoma mjini huwezi kutoboa mkuuKubwa Sana
Kwa mkoani hasa huko Dom, hiyo ilipaswa kuwa chini ya mil 50
Kweli kabisa mkuuBei muhafaka kabisa,
Kitu kama hiyo,dar ni milioni 300
Mkuu maeneo mengine Dar hapa hiyo hela ni ya kiwanjaMilioni 300 unaijua au unaisikia