dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #1,521
Me nadhani tuongezee bidi ya utafutaji na kikubwa zaidi tumuombe MunguHahahahaha. Kwa kwelikweli I see. Wengine sijui tunasindikiza wanaoishi?
Nitashkr sana mkuuHope utapata mteja. Kiwanja kikubwa sana.
Hahaa zipo kila mahali mkuu hii ni tamaduni yetuHivi kumbe hadi huko mjini kuna nyumba zimeezekwa kwa nyasi?
Poa sana mkuuAhsante kwa taarifa...
Asante sana mkuuAhsante kwa taarifa...
Hahaa mkuu wenyewe wanaishi humu ni vyema mteja aje kuona ndaniWamegoma picha za ndani?
Mkuu karibu uone nyumba ipo vizr na hiyo bei inamaongeziAlieona nyumba ya m 25 aniambie maana hapo naona bajaj tu
Sawa mkuu basi tufanye ni Goba.Kinzudi haipo salasala, ni goba acha uongo